Great Thinkers (GT) of JF and the "Magnifica Humanitas" Encyclical

Great Thinkers (GT) of JF and the "Magnifica Humanitas" Encyclical

Kalamu

Platinum Member
Joined
Nov 26, 2006
Posts
22,507
Reaction score
32,575
First thing out of the way: Is this politics?

You bet, every piece of it.; there can be no more politics than what is discussed by that seminal document.

And so, I ask you Great Thinkers of JF, have you read the document since its release on May 13?

If you have, can you share your thoughts on what you picked from the document?

Anyway, this is a 240 page document; so it may take a while before it filters out and become widely shared

And you may be wondering already what exactly I'm doing here, writing about a document without touching on its contents! The reason is by design, not by default.

Go get this great document that will enlighten your perspectives in today's world of "Akili Unde", a.k.a Akili Mnemba or Artificial Intelligence and its place in human life.

BTW: If anything, let's just appreciate the brain power that was used in creating this masterpiece..
 
Tafsiri

Jambo la kwanza nje ya njia: Je, hii ni siasa?

Unaweka dau, kila kipande chake.; hakuwezi kuwa na siasa zaidi ya kile kinachojadiliwa na waraka huo wa semina.

Na kwa hiyo, nawauliza Great Thinkers wa JF, mmesoma waraka tangu ulipotoka Mei 13?

Ikiwa unayo, unaweza kushiriki maoni yako juu ya ulichochukua kutoka kwa hati?

Hata hivyo, hii ni hati ya kurasa 240; kwa hivyo inaweza kuchukua muda kabla ya kuchuja na kushirikiwa kwa wingi

Na unaweza kuwa unashangaa tayari ni nini hasa ninachofanya hapa, nikiandika juu ya hati bila kugusa yaliyomo! Sababu ni kwa muundo, sio kwa msingi.

Nenda kajipatie waraka huu mkubwa utakaoangaza mitazamo yako katika ulimwengu wa sasa wa "Akili Unde", a.k.a Akili Mnemba au Intelejensia ya Artificial na nafasi yake katika maisha ya mwanadamu.

BTW: Ikiwa kuna chochote, wacha tuthamini nguvu ya ubongo ambayo ilitumika kuunda hati hii.
 
Sasa mkuu hiyo "Document" ipo wapi?
Huyu bwana kaamua kutufumba sisi la nne B. 😊
 
Kaisahau Vatican....
Hakuna GT yeyote anayetishwa na hiyo Vatican,

kilichoandikwa ndani ya kurasa hizo ndicho chenye thamani kwa kila binaadam bila kujali imani yake iko wapi.

Maana yangu ya kuleta mada hii hapa ni uzito uliobebwa na yaliyozungumzwa katika kurasa hizo

Natambua vizuri mivutano ya kiimani iliyomo katika jamii zetu, na nisingeweza kuwa sehemu ya kuchochea mivutano hiyo.

Kwa hiyo nilipima kwa makini kabisa kuhusu hilo kabla ya kuamua kuweka taarifa hiyo hapa kama mada.

Ukiutazama waraka huo kwa misingi ya kiimani kwa maana ya ulipoasisiwai; utakuwa unatia mashaka juu ya U-GT wako na maana halisi inayoelezwa na maneno hayo mawili ya "Great Thinker"

Waraka huo ulivyo andaliwa unabeba maana sahihi ya hali ya U-GT; na ndiyo maana nikapata msukumo wa kudadisi kwenye jukwaa hili..

Umekwisha wekwa hapo juu; kwa hiyo nenda kaonyeshe uGT wako katika hayo yaliyoelezwa ndani ya waraka.
 
JF imebaKi kuwa kundi kubwa la vijana wenye stress na misongo,

nothing here is relevant anymore
Kama nimekuelewa....

Msisitizo wangu juu ya hayo maneno mawili "Great Thinkers" ulikuwa wa maksudi kuashiria hali hiyo unayoieleza wewe hapa.

Hatuwezi kuwalaumu vijana hawa ambao ni sisi wazazi na walezi; na hasa watawala wanaowaweka katika hali hiyo duni, na hasa ukichukulia kwamba hawa vijana ndio watakaokuwa waathirika wakuu wa hali hii mpya inayojitokeza duniani wakati huu.

Hawa ndio wakati huu wagekuwa mstari wa mbele kabisa kutambua athari na faida zinazotokana na kuibuka kwa hii Artificial Intelligence, na itakavyoathiri au kuleta faida katika maisha ya binaadam wote bila kujali eneo walipo auimani zao.

Je, teknolojia hii mpya itaturudisha utumwani sisi tusiokuwa na lolote juu ya teknolojia hiyo?
Vijana wetu (wapiganaji wetu) tumewapa mzingira ya kujipanga na kupambana ili tusirudishwe utumwani?
 
Huo ujumbe una mapungufu mengi ila kwenye angle hii "... Humanity, created by God in all its grandeur, is
today facing a pivotal choice: either to construct a new Tower of Babel or to build the city in which God and humanity dwell together."

Hapo juu anaandika ukweli na kukubali ukweli na kukusogeza kwa muumba wako

Anasisimua hisia kwa kuandika;
" Each generation inherits the task of shaping its own era, of guiding history tobecome a place where the dignity of every person is safeguarded, justice is promoted
and fraternity is made possible.."

Hiyo hapo ndiyo kwenye shida na ile mipango yao ya gizani ilipo!.
 
Hakuna GT yeyote anayetishwa na hiyo Vatican,

kilichoandikwa ndani ya kurasa hizo ndicho chenye thamani kwa kila binaadam bila kujali imani yake iko wapi.

Maana yangu ya kuleta mada hii hapa ni uzito uliobebwa na yaliyozungumzwa katika kurasa hizo

Natambua vizuri mivutano ya kiimani iliyomo katika jamii zetu, na nisingeweza kuwa sehemu ya kuchochea mivutano hiyo.

Kwa hiyo nilipima kwa makini kabisa kuhusu hilo kabla ya kuamua kuweka taarifa hiyo hapa kama mada.

Ukiutazama wakala huo kwa misingi ya kiiman kwa maana ya ulipoasisiwai; utakuwa unatia mashaka juu ya U-GT wako na maana halisi inayoelezwa na maneno hayo mawili ya "Great Thinker"

Waraka huo ulivyo andaliwa unabeba maana sahihi ya hali ya U-GT; na ndiyo maana nikapata msukumo wa kudadisi kwenye jukwaa hili..

Umekwisha wekwa hapo juu; kwa hiyo nenda kaonyeshe uGT wako katika hayo yaliyoelezwa ndani ya waraka.

😂😂😂😂. Mbona umepanick? 😂😂😂

Nani kasema unatishwa na Vatican?
 
😂😂😂😂. Mbona umepanick? 😂😂😂

Nani kasema unatishwa na Vatican?
Umejuaje nimepanick?
Sijaeleza chochote hapo kuhusu mimi kupanick; sasa wewe hicho kipimo cha kujuwa nimepanick umekitoa wapi?.

Na umesema wewe, kuwa "nimetishwa na vatican". Hili nalo umelisoma kwenye maandishi yangu?
 
" Each generation inherits the task of shaping its own era, of guiding history tobecome a place where the dignity of every person is safeguarded, justice is promoted
and fraternity is made possible.."

Hiyo hapo ndiyo kwenye shida na ile mipango yao ya gizani ilipo!

Mimi nilielewa tofauti:
Kwamba endapo kama maswala haya ya teknolojia mpya yataendeshwa na watu wachache/wafanya biashara/serikali za walionacho; hawa makapuku kama sisi tusiwe na chochote cha kuchangia; basi hiyo hofu unayouangushia waraka (kimakosa) itasababisha hali hiyo unayoogopa wewe.
Sasa sijui sababu ya wewe kuuhusisha waraka na hilo wakati ndilo unaloliangazia mwanga ili watu waelewe dunia inakoelekea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom