Kampuni Gani?iweke hapa..au niandikie kwenye PM na mimi nitaiandikaKunakampuni moja hivi ya mambo ya ICT ambayo inamilikiwa na wadosi. mtu akiajiriwa pale hata kama mshahara wake ni 400,ooo kwa mwezi, wenyewe katika zile form za PPF wanaandika mshahara 100,000 ili kila mwezi mwajiri na mwajiriwa wanachangia elfu kumi kila mmoja. huu si utapeli jamani?
Huu pia ni ufisadi kwani hawamtendei haki mwajiriwa. hivi hao PPF kwa nini wanakikubali kitendo hivi?
Mnaionaje hii???
Kunakampuni moja hivi ya mambo ya ICT ambayo inamilikiwa na wadosi. mtu akiajiriwa pale hata kama mshahara wake ni 400,ooo kwa mwezi, wenyewe katika zile form za PPF wanaandika mshahara 100,000 ili kila mwezi mwajiri na mwajiriwa wanachangia elfu kumi kila mmoja. huu si utapeli jamani?
Huu pia ni ufisadi kwani hawamtendei haki mwajiriwa. hivi hao PPF kwa nini wanakikubali kitendo hivi?
Mnaionaje hii???
BAdo nipo nasubiri jina la kampunihizo form za PPF niliziona mwenyewe kwa macho yangu nikashangaa sana tena zilikuwa za watu zaidi ya 10 hivi. inawezekana hata kodi pia wanapeleka uongo.
jina la kampuni nimeishakutumia kwenye PM
Nimeshawatumia E-mail wanijibu kufikia kesho na nishatuma Nzi mmoja kwenda PPF kuangalia kwa undani..i will keep you postedhawa wapo NSSF and PPF. nimewahi kufanyakazi hapo
BAdo nipo nasubiri jina la kampuni
Hivi wewe ni nani?maana huku nako unataka message kwenye PM.Wewe siyo mmoja wao wa hao maf........'
samahani malizia mwenyewe.
Kevo,
Mie ni miongoni mwao ambao ni wao,
Mie ni Mmoja wao ambao siyo wao,
Mie ndiye wao nisiyekuwapo walipo,
Hakika mie ndiyo usemavyo.Kunijua mimi hakutakusaidia chochote,jaribu kumfuatilia mkeo ili ujue huwa anakaa na watu wa aina gani,watu tunakata ishu wewe unaendeleza mambo ya kipuuzi.