Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Naona wamemaliza mkataba na Qatar airwaysKampuni za vifaa vya michezo zinashindana sana kwenye ubunifu wa bidhaa zao
Hii nayo ni rekodi ya aina yake.Alitawala kwa miaka mitatu pekee kwani alifariki dunia Oct 1920 akiwa na umri wa miaka 27 tu
......
1966 - Waziri Mkuu wa zamani wa Congo, Evariste Kimba na baadhi ya wanasiasa wananyongwa hadharani huko Kinshasa kwa amri ya Rais Joseph Mobutu
Amen asanteUbarikiwe Mama mchungaji
Amen uwe na siku njemaNimeamka salama Blessed Hope.
Amen ubarikiwe LeeMama mchuchu asante kwa chakula cha uzima
1967 - Upande wa Mashariki wa Nigeria wajitangaza kama Jamhuri ya Biafra.
Hiyo ni chanzo kwa kuzuka Vita vya Wenyewe kwa Wenyewe iliyojulikana kama vita ya Biafra.
Hakuna kitu kipyaKampuni za vifaa vya michezo zinashindana sana kwenye ubunifu wa bidhaa zao
1974 - Ndege ya abiria ya Airbus A300 yaanza safari zake kwa mara ya kwanza.
Hapana mkuu. Mdharau kwao mtumwa. Chako ni chako hata kama kibayaMiaka 40 baadaye Tanzania inaanza kuliteka soko la isafiri wa anga baada ya kuingiza toroli mbili mpya(Bomberdier)
.....
2012 - Rais wa zamani wa Liberia, Charles Taylor anahukumiwa kifungo cha miaka 50 kwa makosa yake aliyofanya wakati wa Vita ya wenyewe kwa wenyewe huko Sierra Leone.
2009 - Ephraim Katzir anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais wa 4 wa Israel.
Nakushauri kaandike thread usifie kivuko cha MV BagamoyoHapana mkuu. Mdharau kwao mtumwa. Chako ni chako hata kama kibaya
1980 - Steven Gerrard anazaliwa.
Kiungo na kepteni wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya Uingereza.
Anajulikana kama Captain Fantanstic, ni mmoja wa viungo bora wa Kiingereza kwa miaka 10 hadi 15 iliyopita.