Hata record za mchoraji wa nembo ya taifa tu hamnaTatizo tupo nyuma kimaendeleo hata magazeti/vyombo vya habari gavijisgughilishi kututangaza mambo yenye kuvutia(Huyu nilishawahi kumsoma) ila hapa tunaongelea mume na mke mmojamonogous family) au wanawake waliozalishwa na wanaume tofauti
.
Source Ni vyombo vya habari vya wazungu hivyo Ni lazima wajipendelee
Ni km segment ya Dikteta inavyokuwa wengi tunatamani historia za kikwetu lakini hazipatikani mtandaoni tunaishia kuwaongelea wazungu tu ila siyo kwa kupenda
........
Msukuma na mkingaWakuu habar za saivi ??
Panapo majaliwa nita-drop epsode 2 hivi punde
Note:story haijawa edited kwa sababu msukuma hayupo online saivi
kumladhi kwa kuchelewesha story
Ndio maana yakeHapa Sijaelewa... Bibi anaaga.. Bwana anatoa promise ya kuvunja record ya ufyatuaji...kwa hio ndo mnaenda kufyatua sio?
Ivyabure vukwibuda
Sawa bwana.... Wacha mimi nikakumbatie mtoNdio maana yake
Mbona mapema dadaMuwe na ucku mwema wapendwa
.THE LITTLE MAGIC ANGEL
Sehemu ya 2
Ilipoish
Simu mapema... Kazi ya ufyatuaji yataka maandalizi.Mbona mapema dada
Sawa mkuuSimu mapema... Kazi ya ufyatuaji yataka maandalizi.
Leo utatoa sehemu tatu maana ahadi ni sehemu mbili kwa sikuWakuu habar za saivi ??
Panapo majaliwa nita-drop epsode 2 hivi punde
Note:story haijawa edited kwa sababu msukuma hayupo online saivi
kumladhi kwa kuchelewesha story
Hata record za mchoraji wa nembo ya taifa tu hamna
Lazima atiririke SHIMBA YA BUYENZE.
.
.Mdau ni simulizi nzuri sana na inavutia ila nakusistiza jitahidi kurekebisha makosa
Naona tatizo kubwa lipo kwenye nomino(majina,sehemu n.k)
Ni lazima yaanze kwa herufi kubwa hata kama ni mawili yote yaanze hivyo hivyo
Mfano
North Nevada
Paradise
Chief Commander
Samuel Viel
Jacob D.C n.k
Ukikazia hilo suala na baadhi ya makosa madogo km l badala ya r na z badala ya dh utafika mbali na kuvutia watu wengi
Rekebisha makosa kabla SHIMBA hajaja
............
THE LITTLE MAGIC ANGEL
Sehemu ya 2
Ilipoishia
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Kwakua Chief commander anajua anapambana na kiumbe asichokijua na kwa taarifa alizozipata nikwamba kimedondoka kutoka juu aliwaza labda anaweza kuwa alien au kiumbe cha aina gani alitumia ujuzi wa kijeshi kwa kujaribu kuwaambia wanajeshi wake wazime tochi pia wakae kimya inamaana alitaka kujua hicho kiumbe je kinaona?? Je kinasikia?? Na mashambulizi kinatumia siraha gani........ hayo yalikuwa ni mawazo yake chief commander Mcclaw
Je nikiumbe gani icho???
Story inaturudisha nyuma kabisa takribani miaka 120 iliyopita ndani ya nchi Nevada hapo zamani ilikuwa ni Nevada lakini kwakua kuna uvutano ndani wa pande mbili ikagawanyika ikawa Paradise na North nevada
Hapo ni baada ya mfalme wa Paradise nevada kutaka kumiliki miliki kubwa yaani kuongeza mapana ya utawala wake ndipo akaamua kukusanya jeshi la vijana hili kumsaidia kutimiza adhima yake
Hivyo ilimlazimu kukodi wanajeshi na kuingia mitaani kutafuta vijana wenye nguvu na kuwaingiza katika kikosi chake kwaajili ya mazoezi kwa ufupi alitaka kuifanya nevada iwe yake yote
Mwaka 1890 America ndo lilikuwa bara lenye nguvu zaidi kuwahi kutokea duniani ivyo kuweza kujitawala yenyewe na kuitawala dunia
Mfalme wa paradise nevada aitwaye Lucas Angelique alifanikiwa kukusanya vijana 6300 ndani ya wiki moja na kujenga jeshi kubwa kiasi ambacho alitamani hata kutaka kuitawala marekani nzima
Mwaka 1910 Mfalme huyo alikuja kuangushwa na waziri wake aitwaye Samuel viel kwa kupigwa Lisasi ya ubavuni wakati alikuwa akihutubia hali iliyompelekea kuwa mgonjwa na kushindwa kuendelea na vita dhidi ya mfalme wa North Nevada hivyo madaraka ya Lucas Angelique kuyashika samuel viel alikuwa ni mjerumani,kama unavyojua wajerumani kwa roho mbaya
Samuel viel
Mfalme aliyeitikisa marekani pamoja na dunia nzima ni baada ya kupata madaraka ya mapinduzi aliyoyafanya,anaanza kwa kufanya ukatili kueneza udini,ubaguzi na Ukilitimba.
Alikiwa akiua watu bila hatia kosa kwake ni hakuna msamaha anakuua kikatili kwa mkono wake yeye mwenyewe
Hali iliyofanya wananchi wamchukie na wamwogope hivo kupanga njama za kumuua kumuulia mbali
Baada ya kuona usalama wake umekuwa mdogo kiasi cha kupoteza maisha yake aliamua kuongeza wanajeshi ambapo ilifikia idadi 11,000 hapo akajilizisha kwamba yuko salama na ndo lilikuwa jeshi kubwa zaidi kuwahi kutokea duniani na lenye ukatili wa hali juu zaidi
Hiyo ilimfanya mfalme Samuel Viel kuwa mfalme mwenye nguvu sana duniani kote
Hali hiyo ilipelekea mfalme wa North Nevada aitwaye Jacob d.c kuogopa alijua fika vita kati yake na Sam haiwezi
Jacob d.c
Alikuwa ni mfalme pekee aliye rithi mikoba ya babaake Michael d.c ndani ya miliki yake kuna dhahabu,almasi,rubby na madini mengine mengi sana kiufupi King
Jacob alikuwa ni tajiri kuliko King sam
Ulinzi aliokuwa nao pamoja na jeshi zima ni takribani 1200 ndicho kilicho mfanya haone nikama ameshindwa vita alisahau kuwa (it doesn't matter the size of the weapon but furry of attacks)
"Yaani haijalishi ukubwa wa siraha katika vita hila kwa uwezo wa mapambano"
Ndani ya miaka kumi paradise nevada ilikuwa ndo nchi pekee yenye mabavu ya dunia nzima kifupi ilikuwa ikitawala kwakila kitu miongo ikaenda mpaka sasa ndo nchi pekee yenye kupewa kipaumbele zaidi ndani ya bara la America kwaiyo majeshi au wazamizi wakipanga kuiangamiza dunia lazima waanze na taifa kubwa kama America
Tukutane sehemu ya 3 tujue nini kiliendelea pale Miam7i Beech
.
.
.Mdau ni simulizi nzuri sana na inavutia ila nakusistiza jitahidi kurekebisha makosa
Naona tatizo kubwa lipo kwenye nomino(majina,sehemu n.k)
Ni lazima yaanze kwa herufi kubwa hata kama ni mawili yote yaanze hivyo hivyo
Mfano
North Nevada
Paradise
Chief Commander
Samuel Viel
Jacob D.C n.k
Ukikazia hilo suala na baadhi ya makosa madogo km l badala ya r na z badala ya dh utafika mbali na kuvutia watu wengi
Rekebisha makosa kabla SHIMBA hajaja
............
Hapana mkuu nyingine kesho mda na wakati kama huuLeo utatoa sehemu tatu maana ahadi ni sehemu mbili kwa siku
Ndiyo vizuri kumwambia mapema mapungufu yake ili awe bora baadayeMdau shedede , kwanza niseme tu, mwanzo umeanza nao ni mzuri. Ni kitu umekaa chini ukaona na kuamini unaweza kufanya kitu na watu wakapata nafasi ya kukisoma kwa uzuri kabisa. Na ndicho nilichofanya.
Nimeipitia yote na utaona kuna sehemu nimekoleza maandishi, hapo namaanisha sarufi haijakaa sawa na kuna haja ya kuangalia sintaksia na semantikia ya kile unachoandika ili tunaosoma tusiwe na tafasiri mbili mbili (tata).
Najua kabisa unaandika hadithi ya kubuni (fiction) inayohusisha si vitu halisi bali vya kubuni na hisia zaidi. lakini changamoto yangu tu moja kwako, ukiweka vitu vya kubuni halafu ukajidai kuweka miaka basi wapo watu wanasoma sana fition na non-fiction na mmoja wapo ni mimi. Huo mwaka unaosema 1890 unaiongelea karne ya 19 na Amerika haikuwahi kuwa taifa kubwa duniani kipindi hicho, hapo tunaongelea dola la Waingereza, Wafaransa, na Warusi.
Kuwa makini sana, umewahi kusoma vitabu vya Musiba (Wily Gamba) alikuwa akiielezea dola fulani basi utadhani anachoandika si cha kubuni, ni cha kweli kumbe la.
Sikumbuki title ya kitabu lakini aliwahi kuuelezea mji na barabara za Maganzo Shinyanga na kwa kuwa nimewahi kupita maeneo hayo basi nikawa naamini ile hadithi si ya kubuni.
Nadhani umenielewa kwenye kuhakikisha unaweka ukweli kwenye hisia zako unazotaka tuzisome.
Mengine kakuelezea Bitoz na ukiyafuatilia hakyanani utatoka na kitu kizuri na kutufanya Makapuku tujisikie vizuri.
Love
Obe
Na mimi editor nilipaswa kuliona hilo. Asanteni sana jamani. Upendo huu wa Makapuku yaani mpaka raha.Ndiyo vizuri kumwambia mapema mapungufu yake ili awe bora baadaye
Ni bora ingekuwa kaandika mwaka 1135 kuliko hivyo
Watu wanaokubali kukosolewa na kuyafanyia kazi mapungufu yao mbele ni huwa watu bora pengine kuwazidi hata waliowakosoa
............