Makapuku Forum

Makapuku Forum

9/Mr & Mrs Harrison
9270b7e8446ca70d0386ea33919f0572.jpg
Hawa ni wanandoa wa huko London Uingereza miaka ya 1700 hivyo picha zao kuzipata ni tatizo
Walijaaliwa kupata watoto 35
......
Watoto wao ni darasa kamili.
 
10/Mary & John Jonas
d0834cf4f0011331e1cdc884079d2bc3.jpg
Nimeitafuta picha ya familia yao sijaipata zaidi ya vielelezo tu
Hawa wakiishi miaka ya 1800 huko
Walibahatika kupata Watoto 33 ikiwemo pea 15 za mapacha wa kike na kiume
Baadhi walifariki utotoni huku wengine wakifikia uzeeni
Watoto 10 walikuwa hai wakati dingi wao akifariki mwaka 1892
Nary alifariki mwaka 1899
.......
Aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom