EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Hongera braza.Nimekitia cha 2000 ati kwa mara ya kwanza
Hongera braza.Nimekitia cha 2000 ati kwa mara ya kwanza
Jibu kwanza lile FACTYanga mnatia aibu sana ni kubebwa tu hizo mbekeko zina mwisho
Chagua wewe baby wanguYa kijifungia au ipi baby?
FACT
Mkia 0:2 Yanga(Yanga anabebwa)
Mkia 0:1 Kosto(mwamuzi katuua)
Yanga 2:1 Ndanda(Yanga anabebwa)
Yanga 1 :1Al alhy(mtafungwa nyingi Misri goli lenyewe OG)
Al alhy 2:1 Yanga(mmebahatisha kufungwa chache)
Mkia 0:1 Toto (tumeonewa red card)
Kosto 1 :2Yanga (mmebebw)
Leteni picha muobenye bao LA Ngoma km offside na Tambwe kashika mpira.
Simba hamna timu kazi majungu tu![]()
![]()
![]()
..............
S
Ahaa.... Basi sawa, karibu kwa mara nyingine braza.aah! mimi nilikuwa busy na kazi hvyo nikakosa muda wa kuchungulia pande hizi
We bitozi mpira umeangalia au mmebebwa kabisaJibu kwanza lile FACT
Usijifanyaje hujaona
...............
kweli mzee mwènzangu.Show za wikendi huwa zinafanyika kimya kimya braza.
ThubutuNimekitia cha 2000 ati kwa mara ya kwanza
Aisee nimekitia mimi.Nimekitia cha 2000 ati kwa mara ya kwanza
Huelewi nini tena Mkuu, kwani kuna lugha ngeni hapa?Hata sielewi wallah
Mkuu mimi kawaida yangu.Wewe jamaa sifa sasa ya![]()
![]()
![]()
![]()
wewe
Hahahaa wewe mimi nimekitiaAisee nimekitia mimi.
Huna hoja nahisi umechanganya sheria za rede na sokaWe bitozi mpira umeangalia au mmebebwa kabisa
Angalia mwenyewe.Hahahaa wewe mimi nimekitia
Hahahaa ile offside hujaiona? Refa kala mlungula yuleHuna hoja nahisi umechanganya sheria za rede na soka
![]()
![]()
![]()
![]()
..................
Bora twende kupunga upepoChagua wewe baby wangu
Lete pichaHahahaa ile offside hujaiona? Refa kala mlungula yule
Nawe umezidi kuviziaAngalia mwenyewe.
Hahaha mkuu umechemsha spelling'Komashavaa'
![]()
![]()
![]()