Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wakuu..

Naleta ombi kwenu..

Nilikuwa nataka nimpe mtu jukumu la NUKUU YA LEO.

Nilichukua hii segment from April, lakini nahisi nashindwa kuifanyia kazi ..nashindwa kudeliver hiki kitu kwa members hapa kutokana na Ratiba zangu kubadilika kidogo na ndio sababu haka kuingia humu nasua sua kidogo..

Ile segment ni nzuri sana, sikupenda tuikose kwa kweli..

So natoa nafasi kwa member ambaye anaweza kunisaidia aendelee nayo...siku akiwa yuko tight maybe i can take over for sometimes again..

Ni wazo tuu lakini .
 
TOP TEN
Juzijuzi kuna mwanamke alizua gumzo barani Afrika kutokana na kuwa na watoto 38 wakati ana umri wa miaka 37 tu yaani anafyatua fastafasta kuwazidi hata panya!!
.
Sasa leo tuwaone wengine wenye watoto wengi hapa tunazungumzia zaidi wanawake au ndoa za mume na mke mmoja ila kuna usemi Mama pekee ndiye ajuaye baba halisi wa mtoto
Km kawa wazungu maana waafrika hatuna utamaduni wa kutunza kumbukumbu wala kujitangaza kwenye mitandao hivyo inawezekana huko Musoma wapo wengi tu
Karibuni
......
Pamoja sana
 
5/Maddalena Granata
e0ed5ea134844fa3bc88c9c67ecea765.jpg
2a3be3c20aae37e2cb470fca8fe7d119.jpg

Ni binti wa kitaliano aliyezaliwa 1839
Aliolewa akiwa na umri wa miaka 28 na kujaaliwa kupata watoto 52 huku 49 wakiwa wa kiume
Wengi wakiwa ni mapacha watatu watatu(triples)
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom