Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Bhinamu kipenziii....mtaasisi, hili neno location wanalipenda sana bongo movie, na wewe uko kwenye tasnia hiyo? Mnarekodi nini?
Bhinamu kipenziii....mtaasisi, hili neno location wanalipenda sana bongo movie, na wewe uko kwenye tasnia hiyo? Mnarekodi nini?
Ila na huyo mama kibokoTOP TEN
Juzijuzi kuna mwanamke alizua gumzo barani Afrika kutokana na kuwa na watoto 38 wakati ana umri wa miaka 37 tu yaani anafyatua fastafasta kuwazidi hata panya!!
.
Sasa leo tuwaone wengine wenye watoto wengi hapa tunazungumzia zaidi wanawake au ndoa za mume na mke mmoja ila kuna usemi Mama pekee ndiye ajuaye baba halisi wa mtoto
Km kawa wazungu maana waafrika hatuna utamaduni wa kutunza kumbukumbu wala kujitangaza kwenye mitandao hivyo inawezekana huko Musoma wapo wengi tu
Karibuni
......
Maana yake niniBhageshi siio mchezo.
Aaaah Mimi nimesikia humuhumu rafiki kipenzAta sijuiiii
Ebu nipe ripotii
Inawezekana Lee... Jitie manukato mazuri ukienda kumliwaza shem ha ha ha ha

Sasa rafik kipenz si wanasema no research no right 2 speakAaaah Mimi nimesikia humuhumu rafiki kipenz
Kipi hujaelewaMbona sielewi hapa
Pamoja shemejiNzuri kabisa shemeji
Picha ya bata Tafadhali maana sijamwona bata siku nyingiNimesikia mratibu anafuga bata
Picha ya bata Tafadhali maana sijamwona bata siku nyingi
10/Mary & John JonasNimeitafuta picha ya familia yao sijaipata zaidi ya vielelezo tu![]()
Hawa wakiishi miaka ya 1800 huko
Walibahatika kupata Watoto 33 ikiwemo pea 15 za mapacha wa kike na kiume
Baadhi walifariki utotoni huku wengine wakifikia uzeeni
Watoto 10 walikuwa hai wakati dingi wao akifariki mwaka 1892
Nary alifariki mwaka 1899
.......
Ndimkafu,utwa mbomboNaam dadake na Mimi. Ulimkafu
Naandika wapiga keleleNdimkafu,utwa mbombo
Inawezekana taarifa haikumfikia mwenyewe alikuwa busy kuuguza mjukuu na bintiMama humjaliii mwanao kumbe
Babu na mjomba wake walifariki siku moja
Wee mke mweeeeeInawezekana taarifa haikumfikia mwenyewe alikuwa busy kuuguza mjukuu na binti
Nmeona unamsalimia mme mweeeMbona unacheka shem mwee
Nko poa pole na majukumuNaam shem wane
Umeshindaje?