Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wakuu..

Naleta ombi kwenu..

Nilikuwa nataka nimpe mtu jukumu la NUKUU YA LEO.

Nilichukua hii segment from April, lakini nahisi nashindwa kuifanyia kazi ..nashindwa kudeliver hiki kitu kwa members hapa kutokana na Ratiba zangu kubadilika kidogo na ndio sababu haka kuingia humu nasua sua kidogo..

Ile segment ni nzuri sana, sikupenda tuikose kwa kweli..

So natoa nafasi kwa member ambaye anaweza kunisaidia aendelee nayo...siku akiwa yuko tight maybe i can take over for sometimes again..

Ni wazo tuu lakini .
Ngoja waje
 
Mama humjaliii mwanao kumbe

Babu na mjomba wake walifariki siku moja
Yaani nimejisikia vibaya sana sikujua,nina wagonjwa mmoja alikua serious,hata sikuwa nafuatilia hapa,pia ndiyo hivyo mambo ya fake id hata sijui kwakwenda kumuona sipo nnyi kimwili nipo nanyi kiroho nawaombea faraja.nampenda sana mwanangu sema mambo yalinizidi poleni sana
 
Pole mama mchungaji umeongea kwa huruma kweli,kikubwa tumuombee Mungu awe faraja kwake ktk kpnd hki kigumu anachoptia
 
4/Barbara & Adam Stratznann
366f109bbc5612eb4656be8d5fd49eba.jpg
21cdf830790db40590e217a94c156838.jpg

Ni wanandoa wa Kijerumani wa karne ya 15
Walijaaliwa watoto 53
Wakiume 38 na wakike 11(sijakosea kujumlisha)
Walipata mapacha Wa kawaida mara 4
Walipata mapacha watatu(triples) mara 5
Watoto wao wanne walikuwa na jinsia mbili
.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom