Makapuku Forum

Umeangalia mpira?
Mbao kamyimwa pwnati ya wazi wazi halafu Thimbwa amepewa penati ya magumashi tena dk ya Mwisho
Huu ni mwezi wa Ramadhan tusije kuharibu swaaumu za watu bure
Acha ushabiki wa kinazi
Kila mwenye macho ameona
.......
Mkuu mm ni thimbaaaaa damuuu tutabishana mpaka kesho ...
 
Big mountain- Baby i love your way
Daah huu wimbo huu daaaah


Wimbo mtamu kabisa huu, asante mdau.

Big Mountain waliurudia wimbo huu ambao kwanza uliimbwa na kuchezwa na Frampton (jamaa anapiga gitaa huyu). waowameupiga kwenye mahadhi ya reggae na gitaa unalosikia likipigwa kwa kipekee 9electric guitar) limepigwa na mjamaika Tony Chin huku bass ikipigwa na Copeland.

Ukipenda nitaweza kuweka original version yake J3, ikiwa utapenda lakini.
 
Uiweke
Tupo machizi mziki kibao tu
 
We are partners when it come to music so uje uweke tu Obe wangu....
. Nimependa ulivyo flow na history ya hao jamaa uko sahihi kabisa, mi napenda reggae so ndo maana nikauweka huo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…