Asante sana mwenyekiti wa weka picha kwa historia
Sabato njema na kwako pia
Ramadhani Mubarak kwa wana familia wote ambao wanatimiza nguzo hiyo ya uislamu
Asante mkuuNimefurahi kusikia hivyo
Kibiti si ndo atakufa kama kuku na hii Kilimanjaro yakeApelekwe Kibiti
Mzee wa fungate
Ni kweli mkuuAccording to Bob Marley kila mmea uliopo duniani ni halali na kitu chema
Aliyeuleta ndo aulizwe kwanini kauleta
......
Kama issue ya mchanga itasumbua sana serikali hii, watu wanashangilia bila kufikiliSizonje apimwe akili
90% ya kauli zake ni za kipumbavu zimejaa maneno ya khanga na majivuno tushayazoea
Ndiyo tabu ya mtu kuupata uongozi bila kutarajia
........
Shida nyingine ni kuishi kijamaa hivyo watu hawana uchungu na maisha ...wanajua hata wakifanya ujinga kuna washikaji wa kuwasaidia ni upuuzi mtupuKwasbabu wanajua fika kuwa kama wewe mwenyewe hujaamua kutoka moyoni kuacha itakuwa ni kupoteza muda tu na fedha kitu ambacho hawako tayari kukifanya
Tatizo sisi hatujiongezi tunachojua ni kutafuta sifa tu
Kila mtu awe huru na Imani yake
Ikumbukwe kuna watu humu walifunga Kwaresma na hakukuwa na maneno mengi.
Hivyo ndugu zangu tuzianze kubughudhiana
.........
Jamanniiiiii mke mweeee
Au mm ni sshemela mweee
Akhaaaaah mweeenaona leo umepania kunivunja mbavu
Ndo hivyo usimchukulie seriousKuna mda waga namuuelewa huyu rafiki yangu edo ila mda mwingine simuelewiiii ila huwez mlinganisha na dauda ...
Akhaaaaah mweee
Mm huwa naona mke wangu mweewh anakuitaa mke mwee
Yeye anaita tu bila kujua
Hatujambo,hujatutumia picha za nywele tuchague Mndali katupa offer wenzioNawasalimu ninyi nyote
Usihofu nilimwambia anitajie majina yenu iliniwafuate pmHatujambo,hujatutumia picha za nywele tuchague Mndali katupa offer wenzio
MzimaNawasalimu ninyi nyote