shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Majibu kuntuUfunguo anao shululu ukimwona mwambie akufungulie
Majibu kuntuUfunguo anao shululu ukimwona mwambie akufungulie
Shemela wangu kazi anayoSasa mama shunie kipenzi usiponitafutie baby nan sasa anitafutie au unatka nichepuke nilete baby kutoka nje...nikuulizee utamlea ???
Shemela tangu jana namuona tuPm ya mke wa mtu inakuhusu niniiiii
Na jina lake la utani ni kivurugeunajua mke mwee anapenda sana kunivuruga sijui anajua moyo wangu ni chuma
Mama mchuchu..RIP Kevin
Aisee![]()
kwahiyo kila siku kwenye daladala unakaa na wanawake juzi mwenye manywele kwapani mpaka no ukaomba leo kibonge
Mkuu..Leo hakuna top ten kutokana na kutingwa na ishu maalumu
Tukutane J3
..............
Konda wa shabby anakaziYaaaan wewee ...mm nipande gar nitafute siti ambayo amekaa kidumee ...tutaongea mn kwa mfanoo
Na uzur physics nilisoma ..like charges repell unlike charges loves each other
Hahaha...Yupo Beach Mabibo tangu saa 11 anapunga upepo na Mwajuma wa Manzese
Ndo nimetoka kuwarushia mawe waondoke
![]()
![]()
![]()
........
Aisee
Hivi shemela huwa unapata usingizi kwelihii tungo tata baba unataka kuongeza mtoto mwingine au
Mpaka kifo kiwatenganisheAiseee ujue umenishinda
Uwe unampa matumainiUwe na amani mke mweee amin nlchokwambia
Hawajafunga aiseeHamjafunga madirisha majiran mnatupa faida hku
Honey!Mail moja nimeshangaa hata tone hamna
HeinekenDompo nakunywa nikiwa na lee
SawaUsisimkilize kabisa huyo