Makapuku Forum

Mkuu pole sana pikipiki na gari na bado unasema ni minor injury!!! Ni vyema ulivyopata tiba
Asante mkuu maana walio kuwa karibu walijua nimepoteza fahamu lakini nikawambia niko sawa na baada ya kujiridhisha ninacho sema wakaniruhusu niondoke na nilovyo rudi jioni nikawapitia ila niwambie ndo narudi niko salama walishangaa kuniona nimerudi naendesha mwenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…