Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,797
Hapana sio fursa mkuuUnapoteza fursa sasa
Hapana sio fursa mkuuUnapoteza fursa sasa
Yes na mama mchuchu alisema Dada zakeNa mama mchungaji pia
[emoji120] [emoji120]sawa
Mungu atawasimamia wapone harakaHospitali...nina wagonjwa ,mjukuu na binti,binti alilazwa,wanaendelea vizuri namshukuru Mungu[emoji120]
Asante Obe Ubarikiwe sana nimeupenda wimbo[emoji120] gitaaBhinamu ndo maana napanga kukubadilishiaa simatiii foniiii na nikusajilie na tigo ili ujazwe kabisaa
Asante kwa mziki mzuri bhinamuu
Umechanganya madesaPole sana mama nilihisi tu utakua na kitu kimekutinga
Hapanawewe eti
HayaAmeshaelewa
Akiiii ni madesa hiyo quote ya mama mchuchu [emoji134]Umechanganya madesa
Nimesema dada zangu woteNa mama mchungaji pia
Muziki Kuelekea Ijumaa
Habari za muda Makapuku waaminifu, yeah, waaminifu maana kila siku tunatia timu humu na hatujawahi kulalamika kuwa kuna kitu tunakosa. Zaidi ni ukweli kwamba ambao hawako humu wanakosa mengi mazuri na hata tukiwapelekea tunafaidika nayo humu (kuanzisha thread kutokana na yaliyojiri humu) bado wa mwanzo ni wa mwanzo tu.
Kuna anayebisha? Huku tunauliza majibu maswali yanapoteza muda.
Tunakutana tena usiku huu huku tukiwa na muda mchache tu kuikaribia 'furahidei'. Kwa makusudi kabisa nakuwish happy almost furahiday Kapuku mwenzangu.
Well, ni wakati wa ka-kipengele ka buruduni ya gitaa katika muziki. Leo tunaangalia muziki wa band, yeah yaani kama mfano wa tancut Almasi enzi zile, bana Beta na nyingine nyingine, sema nini ujue, hii iko wapwa zake malkia LizzyII yaani US of A.
Tunamwangalia mwanadada Samantha Fish na band inaitwa Samantha Fish Band, hawa wanapiga Blues la kisasa sio lile la Chicago la kina Buddy Guy and co. Hapa gitaa na ngoma za umeme zinakung'utwa sawasawa kiasi kwamba inahitaji milo saba na si miatu kama tuliyozoea.
Muziki na upigaji wake wa gitaa umekuwa ukifanana sana na SRV (Nitamleta hapa huyu nguli, na kama unakumbuka wakati nimempandisha BB King alikuwa BB, Buddy, na Stivie Ray Vaughan).
Keshashinda tuzo katika muziki wa Blues huko USA na nyimbo zake kukamata chati kadhaa
Asante kwa Mondray aliyetoa darasa la kulink sasa nina link hii clip ya YouTube umuone mwanadada Samantha Fish akitumbuiza
SN: Nyie ni watu bora kabisa kutumia muda pamoja. LLL
Shemela shunie ahusikeAtume picha kesho uchague
OK, pole sanaMkuu mi nimepata Jana Leo nikawa nimewahi hospital kufanya checkup maana mi nimeumia mikono tu
Mama mchuchu ebu mpe flowers binamu yangu nae ajisikie usimkatili hivi [emoji134] mpaka anasema ye kazoea asante tuAsante Obe Ubarikiwe sana nimeupenda wimbo[emoji120] gitaa
Nafikiri niko muremure [emoji3] [emoji3] [emoji3]Shemela unachofikilia tofauti ujue [emoji2]
Sasa mbona ulifurahia kwa binamu obe shemelaHapana
Nimeona tuAkiiii ni madesa hiyo quote ya mama mchuchu [emoji134]
[emoji2]Nimesema dada zangu wote
Flowers veeeeep mama mchuchuAsante sana Obe usiku mwema muziki mzuriiii..gitaa
Sawa shemeji mkumbushe na dadaShemela shunie ahusike