Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Atume picha kesho tuchagueShemela shunie ahusike
Atume picha kesho tuchagueShemela shunie ahusike
hapana shemela sio huko banaNafikiri niko muremure [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Asante shemejiOK, pole sana
Uko poa kijana?Niaje kaka..
AmekupataSawa shemeji mkumbushe na dada
Nyagei habr yakoUko poa kijana?
[emoji736] [emoji736] [emoji736] [emoji736]Atume picha kesho tuchague
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Amekupata
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wewe nani alikutekaJamani kwema humu
Nimewakumbukeni hatari
Linamo mtoto mzuri nimerudi kwa ajili yako baada ya kutoroka ununio
Amen mama mchungaji Ubarikiwe[emoji524] ZABURI 122
1.Nalifurahi sana waliponiambia na twende nyumbani kwa BWANA.
2.Miguu yetu imesimama Ndani ya malango yako,Ee Yerusalemu.
3.Ee Yerusalemu,uliyejengwa kama mji ulioshikamana.
4.Huko ndiko walikopanda kabila za BWANA.Ushuhuda kwa Israel.Walishukuru jina la BWANA.
5.Maana huko viliwekwa viti vya hukumu.Viti vya enzi vya mbari ya Daud.
6.Utakieni Yerusalemu amani, Na wafanikiwe wakupendao.
7.Amani na ikae ndani ya kuta zako Na kufanikiwa ndani ya majumba yako.
8.Kwa ajili ya ndugu zangu na rafiki zangu,Niseme sasa,Amani ikae nawe.
9.Kwa ajili ya nyumba ya BWANA,Mungu wetu nikutafitie mema
Karibu NyageiJamani kwema humu
Nimewakumbukeni hatari
Linamo mtoto mzuri nimerudi kwa ajili yako baada ya kutoroka ununio
Nawe pia shemejiUsiku mwema makapuku wote
Pole sana sana kaka yangu Mungu akuponye,jitahidi uende hospitali ujiridhishe kabisa ,usiku mwema ubarikiwe[emoji120]Nawe pia shemeji
Amen asante kaka ubarikiweWakuu niwatakie usiku mwema
Ukiwa mvivu wa kufikiria huwezi kufika unako kwenda na huwezi kukosa wa kumlaumu
Ukiwekeza nguvu zako katika mipango yako mafanikio utayaona
Mungu awape ulinzi wake usiku huu na akawaamshe salama kesho
Nawe pia ubarikiweUsiku mwema makapuku wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Karibu Nyagei
Linamo yupo
Na wengine wapo
Amen AsnteAmen mama mchungaji Ubarikiwe