Wale tuliosoma boarding mnakumbuka kipindi kilichoitwa "Pumbu erosion "?

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,274
6,592
Nakumbuka enzi za advance(boarding) miaka hiyo kilikuja kipindi tukakibatiza jina kikaitwa PUMBU erosion
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png

Sijui ilikuwa shule yetu tu
1f633.png
1f633.png
1f633.png
..

Tujaribu kukumbushia kipindi hiki milikipa jina gani shuleni kwenu na namna ulivyoweza kuishi na "pumbu erosion"
 
Hahahahahaha nilisoma st.Thomas Aquinas igunga uliitwa pumbu jero, ila nashukuru sikuupata na kwa wasichana sikumbuki fresh ila uliwatesa kuzidi hata wanaume na shule ilikuwa mixture
 
Nakumbuka enzi za advance(boarding) miaka hiyo kilikuja kipindi tukakibatiza jina kikaitwa PUMBU erosion
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png

Sijui ilikuwa shule yetu tu
1f633.png
1f633.png
1f633.png
..

Tujaribu kukumbushia kipindi hiki milikipa jina gani shuleni kwenu na namna ulivyoweza kuishi na "pumbu erosion"
 
Kuna dawa fulani maji ya kijani ivi aiseeeee ukipaka ile unaweza jikuta umetokea assembly uchi wa mnyama kwa jinsi inavyouma baada ya hapo P inakauka na ngozi inababuka heeeee heeee usiombe msimu ule maana bweni linakua na harufu fulani ivi na hakuna wa kumcheka mwenzie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom