BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Jamani kwema humu
Nimewakumbukeni hatari
Linamo mtoto mzuri nimerudi kwa ajili yako baada ya kutoroka ununio

Jamani kwema humu
Nimewakumbukeni hatari
Linamo mtoto mzuri nimerudi kwa ajili yako baada ya kutoroka ununio

Asante kwa ujumbe wa leo,Wakuu niwatakie usiku mwema
Ukiwa mvivu wa kufikiria huwezi kufika unako kwenda na huwezi kukosa wa kumlaumu
Ukiwekeza nguvu zako katika mipango yako mafanikio utayaona
Mungu awape ulinzi wake usiku huu na akawaamshe salama kesho
Vizuri sana, Mnaendeleaje kwa ujumla?Karibu Nyagei
Linamo yupo
Na wengine wapo
Naona tunapokezana kijitiUsiku mwema makapuku wote
Amen mkuuWakuu niwatakie usiku mwema
Ukiwa mvivu wa kufikiria huwezi kufika unako kwenda na huwezi kukosa wa kumlaumu
Ukiwekeza nguvu zako katika mipango yako mafanikio utayaona
Mungu awape ulinzi wake usiku huu na akawaamshe salama kesho
Nimesha enda dadaPole sana sana kaka yangu Mungu akuponye,jitahidi uende hospitali ujiridhishe kabisa ,usiku mwema ubarikiwe![]()
Asante dada nawe ubarikiweAmen asante kaka ubarikiwe
Asante mkuu nawe piaAsante kwa ujumbe wa leo,
Nawe pia usiku mwema
Huku kwema mkuuSalama tu mkuu
Kwema huko?
Umesha jipatia wako hongera![]()
![]()
![]()
![]()
Love ya Linamo hilo
Sijasahau cuzooo lakini hili hujaniambia kabisaaa![]()
mpaka napata wasiwasi

75% mkuuUmesha jipatia wako hongera
Nini ilikuwa mbaya?Nimesha enda dada
Pole na kuuguza familia
Hongera maana naona kila mmoja anajitwalia wake75% mkuu
Mbona kama kulikuwa na mgonjwa humu anaendeleaje?Huku kwema mkuu