1/Hans Nilsen Langseth
Huyu mnorway ndo Mfalme wa madevu kuwahi kutokea duniani
Ndevu zake zilipimwa kabla ya mazishi yake mnamo mwaka 1927 na kukutwa na urefu wa futi 17 na inch 6 hadi leo ishapita miaka 90 lakini rekodi yake ipo palepale aliyejitahidi amefikisha futi 8 tu
.........
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho kwenye 10 kubwa ya kufungia wiki Mwisho
.......