Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Nimesahau kwakweli alisema anasafiri nchi za nje,so tunasubiri arudihahaha imeishia sehemu ya ngapi nimesoma ya 35 nimeshindwa
Nimesahau kwakweli alisema anasafiri nchi za nje,so tunasubiri arudihahaha imeishia sehemu ya ngapi nimesoma ya 35 nimeshindwa
Nipo hapa mtejaHivyohivyo tu
Hajajibu hata namsubiriaEbu msumbue sumbue huko piemo
HayaNipo hapa mteja
Kwalipi??Husna ananisumbuaa

Hhahaha hunitakii mema shemRudi shemu![]()
![]()
Zinalingana na urefu wangu futi 72/Sarwan Singh
Huyu ni muhindi mwingine ambaye alipimwa midevu yake mwaka 2011 huko Canada na kuweka rekodi ya dunia nikiwa na urefu wa futi 8 na inch 2.5![]()
Mwanzoni vipimo vilifanyika huko Rome ambapo Wataliano walimpunja na kudai zina urefu wa futi 7
Jamaa ni noma hata urefu wa kitanda haufui dafu
.......

Sawa aganza nitajie bei na majina ya hizo bidhaaHaya
Poa mambo yakoMambo bibie.
Ninazo nyingi sema unataka ipiSawa aganza nitajie bei na majina ya hizo bidhaa
Tunashukuru mkuu ubarikiwe1/Hans Nilsen Langseth![]()
![]()
Huyu mnorway ndo Mfalme wa madevu kuwahi kutokea duniani
Ndevu zake zilipimwa kabla ya mazishi yake mnamo mwaka 1927 na kukutwa na urefu wa futi 17 na inch 6 hadi leo ishapita miaka 90 lakini rekodi yake ipo palepale aliyejitahidi amefikisha futi 8 tu
.........
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho kwenye 10 kubwa ya kufungia wiki
Mwisho
.......
KaribuuHodi humu ndani
Ananitaka na mimKwalipi??![]()
Ndio nimeachaumekua lee tena ulinzi si umeacha
Bosi za sikuAnanitaka na mim
Binamu nilijua unamsubili mama mchuchu ndio ujitokeze nimekuona mda
Muziki Kuelekea Ijumaa
Habari za muda Makapuku waaminifu, yeah, waaminifu maana kila siku tunatia timu humu na hatujawahi kulalamika kuwa kuna kitu tunakosa. Zaidi ni ukweli kwamba ambao hawako humu wanakosa mengi mazuri na hata tukiwapelekea tunafaidika nayo humu (kuanzisha thread kutokana na yaliyojiri humu) bado wa mwanzo ni wa mwanzo tu.
Kuna anayebisha? Huku tunauliza majibu maswali yanapoteza muda.
Tunakutana tena usiku huu huku tukiwa na muda mchache tu kuikaribia 'furahidei'. Kwa makusudi kabisa nakuwish happy almost furahiday Kapuku mwenzangu.
Well, ni wakati wa ka-kipengele ka buruduni ya gitaa katika muziki. Leo tunaangalia muziki wa band, yeah yaani kama mfano wa tancut Almasi enzi zile, bana Beta na nyingine nyingine, sema nini ujue, hii iko wapwa zake malkia LizzyII yaani US of A.
Tunamwangalia mwanadada Samantha Fish na band inaitwa Samantha Fish Band, hawa wanapiga Blues la kisasa sio lile la Chicago la kina Buddy Guy and co. Hapa gitaa na ngoma za umeme zinakung'utwa sawasawa kiasi kwamba inahitaji milo saba na si miatu kama tuliyozoea.
Muziki na upigaji wake wa gitaa umekuwa ukifanana sana na SRV (Nitamleta hapa huyu nguli, na kama unakumbuka wakati nimempandisha BB King alikuwa BB, Buddy, na Stivie Ray Vaughan).
Keshashinda tuzo katika muziki wa Blues huko USA na nyimbo zake kukamata chati kadhaa
Asante kwa Mondray aliyetoa darasa la kulink sasa nina link hii clip ya YouTube umuone mwanadada Samantha Fish akitumbuiza
SN: Nyie ni watu bora kabisa kutumia muda pamoja. LLL