Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Mke mweee eti ipo kueditiwaShimba ya buyense ndo ailete nimemtumia pm ai-edit
Mke mweee eti ipo kueditiwaShimba ya buyense ndo ailete nimemtumia pm ai-edit
Husna ananisumbuaaHabar yako mkuu
Mndali mambo vpUmeamkaje mkuu
kwahiyo lee kidevuni kweupe?? nauliza swaliLee wangu fuga basi na ww kidogo niwe nazichezea chezea![]()
Anachekesha sana, poa bitozSizonje again!!!
Jamaa haeleweki
Tukipiga kelele kuhusu madudu ya wateule wake hatusikilizi
Siku yakimfika anakuja na povu na kuamua kutumbua watu
Jamaa anachekesha sana
.
.
.
.
Ahsante kwa magazeti mdau
........
Mimi mpenzi wa kuzama kule kutamuu nikifuga usafiii ntawezaaaLee wangu fuga basi na ww kidogo niwe nazichezea chezea![]()

Hapana dada Jana nimepata kaajari kadogounaumwa
kwa ibra nimeshapita hapana imenishinda acha tu inipite yaan niliishia page ya 8 naingia leo nakuta page 25 hadithi anarusha kwa mkupuo ukitaka nione uvivu rusha story kwa mkupuo story 5 kwa siku![]()
pole,katuacha solemba mwendelezo hakuna ni wiki naktu sasaSalama kabisa habar za hapo kinyereziMndali mambo vp
Kweli kabisa,umesema ulipata ka ajali poleSawa mungu mkubwa maana ukiacha kazi wa kakuita tena ni bahati kubwa
PoeeeHapana dada Jana nimepata kaajari kadogo
Asante dada na mshukuru mungu nimeponaKweli kabisa,umesema ulipata ka ajali pole
Asante dadaPoeee
Acha bhasiii huo upuuzii![]()
nilikukumbuka sana jaza ujazwee
Hahahaha ni megabytes sio megabaiti![]()
KaribuHodi humu ndani