Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Shem unaonekana unapenda nirud kazini siHajastaafu kapewa barua ya kurud kazin alipumzika kwa ajili ya hanimuni![]()
![]()

Shem unaonekana unapenda nirud kazini siHajastaafu kapewa barua ya kurud kazin alipumzika kwa ajili ya hanimuni![]()
![]()

Nini tena kaka unaumwaMi siko poa sana dadangu ila mbeya kwema
Huwa anazirusha kwa mkupuo uciikatie tamaa mke mweee isome,na ibra katupia ya leo ucsahau kuptiani poa mke mwee ile story ya kisiwa cha madagascar imenishinda kumbe imefika mbali vile
sawa mwambie tunasubilia kwa hamu halaf muwe mnaweka kila siku sio mambo ya weekShimba ya buyense ndo ailete nimemtumia pm ai-edit
Ebu tuwekee story humu jaman hamna haja ya kuedit wala nini si tupo wenyewe
aweke buana watu tuna mchecheto
3/Shamser Singh
Huyu ni muhindi wa huko Punjab India![]()
Ni miongoni mwa mabwana madevu wa muda wote kuwahi kutokea duniani
Mwaka 1997 Guinness Book of World Records waliyapima madevu yake na kuyakuta yana urefu wa futi 6 ambao ni sawa au kuzidi urefu wa kwenda chini wa kaburi la kawaida
......

Jana nimepata kiajari kidogoNini tena kaka unaumwa
hapendi shem wake uhangaikeShem unaonekana unapenda nirud kazini si![]()
Kapona kwakweliHongera zake ameshindwa kwenda kulima karomije
kwa ibra nimeshapita hapana imenishinda acha tu inipite yaan niliishia page ya 8 naingia leo nakuta page 25 hadithi anarusha kwa mkupuo ukitaka nione uvivu rusha story kwa mkupuo story 5 kwa sikuHuwa anazirusha kwa mkupuo uciikatie tamaa mke mweee isome,na ibra katupia ya leo ucsahau kuptia

Ipo kwa shimba ya buyense hajaituma nilimpa pmEbu tuwekee story humu jaman hamna haja ya kuedit wala nini si tupo wenyewe
SawaAkikujibu mke mwee niite
ni kweliKwaiyo pm yako niya watu maalumu tu![]()
Ebu ongea nae mke mwee alete![]()
![]()
aweke buana watu tuna mchecheto
Ni poa tusije tukauchuna mke wako akaja kama jana
mbona nawewe umekuja late sana
Ebu msumbue sumbue huko piemoIpo kwa shimba ya buyense hajaituma nilimpa pm
Sawa mungu mkubwa maana ukiacha kazi wa kakuita tena ni bahati kubwaKapona kwakweli
Mi siko poa sana dadangu ila mbeya kwema
unaumwa