Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,320
- 35,823
Nauza nywele ,vipodozi ,mafuta ,masaji,nguo na viatu
..afadhari tatizo langu la ualaza limepata tiba. Ninakuja chemba tuongee
Nauza nywele ,vipodozi ,mafuta ,masaji,nguo na viatu
Bhinamu kipenzi unaogopa kujazwa ??Yaani katika wajomba zangu wote, mimi nakufagilia wewe , sasa ukinisajilia hiyo tigo basi hakikisha wanaijaza smatifonii, mimi sijapungua hivyo sitaki kujazwa
Mwambiee aachee usumbufuTueshimiane mkuu
Ata mwaka sinaKwa hiyo wewe huna siku, hongera kwa kukosa siku ila unapata mwezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe una upaaa..afadhari tatizo langu la ualaza limepata tiba. Ninakuja chemba tuongee
Huna mdomo[emoji15] [emoji15]Mwambiee aachee usumbufu
Ata mwaka sina
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]..afadhari tatizo langu la ualaza limepata tiba. Ninakuja chemba tuongee
Marejeo ni ngamaniMwenda tezi na omooo [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe una upaaa
Hali ngumu we hujiulizi y nimekukwepaa leo ??Yaani niko hapa nimekaribishwa kwa jirani kuna kijishughuli, lakini naona maneno ni mengi kuliko matendo, yaani hadi muda huu hata sisiskii harufu ya msosi, wala TBL.
Au sijajua ukute wameshaanza utangulizi wa ramadhan
Uji wamejifungua ???[emoji2] [emoji2] binamu subilia uji au chai
Hali ngumu we hujiulizi y nimekukwepaa leo ??
Hata mi nimeona umejaza nafasi hewa```NASISITIZA
Tafadhari sana sana sana```
```TAARIFA ZINAZOSAMBAA KWAMBA NIMETEULIWA KUWA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI SIO ZA KWELI TUZIPUUZE```
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee waziri```NASISITIZA
Tafadhari sana sana sana```
```TAARIFA ZINAZOSAMBAA KWAMBA NIMETEULIWA KUWA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI SIO ZA KWELI TUZIPUUZE```
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapanaHapana sijaupaa, nina kaualaza kaumaskininautajiri kidogo. Ulishamwona bakhresa?
[emoji134] [emoji134] [emoji15]Uji wamejifungua ???
Au ndo kujazwa??