Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
![]()
binamu hata balimi
wapuuzi kama nini, serious, yaani sisikii hata harufu , au wanapika maji?
![]()
binamu hata balimi
Za sikuvipii
wapuuzi kama nini, serious, yaani sisikii hata harufu , au wanapika maji?
binamu subilia uji au chai
poa za kwakoZa siku
Nzuripoa za kwako
Pole mndali.Jana nimepata kiajari kidogo
Nimesema urefu mzima kutoka juu mpk a chini (kimo) sio ndevukwani jf ndio nini piga hizo ndevu weka


Sawa mkuu Bitoz: Ukiandika kwa swaga itakuwa Beetose! Usiku mwema kamanda.1/Hans Nilsen Langseth![]()
![]()
Huyu mnorway ndo Mfalme wa madevu kuwahi kutokea duniani
Ndevu zake zilipimwa kabla ya mazishi yake mnamo mwaka 1927 na kukutwa na urefu wa futi 17 na inch 6 hadi leo ishapita miaka 90 lakini rekodi yake ipo palepale aliyejitahidi amefikisha futi 8 tu
.........
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho kwenye 10 kubwa ya kufungia wiki
Mwisho
.......
Nikajua ndevuNimesema urefu mzima kutoka juu mpk a chini (kimo) sio ndevu
Zangu ndogo tu![]()
ndio mwanaume rijal alivyo usishtukeKanistua mmeo![]()
![]()
Hapana shemNikajua ndevu
Mmh haya shemndio mwanaume rijal alivyo usishtuke
Hahahahahaha huyu kiboko kwa kweliiii miaka kenda na kenda rekodi haivunjwiii ??
Asante mkuu
Asante Bitoz kwa top 10
Tunashukuru mkuu ubarikiwe
Pamoja sana wadauSawa mkuu Bitoz: Ukiandika kwa swaga itakuwa Beetose! Usiku mwema kamanda.
Mwanamke ni mwanamke tuHahaha duu sasa nani beberu nyumbani sasa![]()
We zitaje ndo nitakwambia ipi uniuzieNinazo nyingi sema unataka ipi
Nauza nywele ,vipodozi ,mafuta ,masaji,nguo na viatuWe zitaje ndo nitakwambia ipi uniuzie
Sizonje vindevu vyake anavyotambia bongo ni km vya paka tuYa leo kibokoo
![]()
![]()
![]()
![]()
Asante mkuu nimepona ndo maana nimesema kaajari kadogo maana nilipata michubuko kidogo na nikaendelea na safariPole Mndali ndanyelakakomu kwa kaajari ulikokaita kadogo. Ajali ni ajali, jitulize ujisikilizie