Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,797
Hataki kutaja biashara yake sijui ni biashara hewaMtajie mteja biashara matangazo ati[emoji108] [emoji108]
Hataki kutaja biashara yake sijui ni biashara hewaMtajie mteja biashara matangazo ati[emoji108] [emoji108]
Ni genetic tu ya mtuwatu wamejaaliwa ndevu
NimerudiSawa tumosa ngoja arudi mndali
Asante ipogoloPole mndali.
Women's set only??Nauza nywele ,vipodozi ,mafuta ,masaji,nguo na viatu
Kwani anandevu yule mzee[emoji15]Sizonje vindevu vyake anavyotambia bongo ni km vya paka tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
For both male and femaleWomen's set only??
Leo haja-participateShululu kesha lala?
Sawa nyweli natoa of a kwa dada zangu wote ila masaji nakuja mwenyewe na viatu ni vya kike au vyoteNauza nywele ,vipodozi ,mafuta ,masaji,nguo na viatu
Ok am looking for men's perfumeFor both male and female
VyA wote tyuSawa nyweli natoa of a kwa dada zangu wote ila masaji nakuja mwenyewe na viatu ni vya kike au vyote
I haven't my be next timeOk am looking for men's perfume
Can I get??
Ok thanksI haven't my be next time
Muziki Kuelekea Ijumaa
Habari za muda Makapuku waaminifu, yeah, waaminifu maana kila siku tunatia timu humu na hatujawahi kulalamika kuwa kuna kitu tunakosa. Zaidi ni ukweli kwamba ambao hawako humu wanakosa mengi mazuri na hata tukiwapelekea tunafaidika nayo humu (kuanzisha thread kutokana na yaliyojiri humu) bado wa mwanzo ni wa mwanzo tu.
Kuna anayebisha? Huku tunauliza majibu maswali yanapoteza muda.
Tunakutana tena usiku huu huku tukiwa na muda mchache tu kuikaribia 'furahidei'. Kwa makusudi kabisa nakuwish happy almost furahiday Kapuku mwenzangu.
Well, ni wakati wa ka-kipengele ka buruduni ya gitaa katika muziki. Leo tunaangalia muziki wa band, yeah yaani kama mfano wa tancut Almasi enzi zile, bana Beta na nyingine nyingine, sema nini ujue, hii iko wapwa zake malkia LizzyII yaani US of A.
Tunamwangalia mwanadada Samantha Fish na band inaitwa Samantha Fish Band, hawa wanapiga Blues la kisasa sio lile la Chicago la kina Buddy Guy and co. Hapa gitaa na ngoma za umeme zinakung'utwa sawasawa kiasi kwamba inahitaji milo saba na si miatu kama tuliyozoea.
Muziki na upigaji wake wa gitaa umekuwa ukifanana sana na SRV (Nitamleta hapa huyu nguli, na kama unakumbuka wakati nimempandisha BB King alikuwa BB, Buddy, na Stivie Ray Vaughan).
Keshashinda tuzo katika muziki wa Blues huko USA na nyimbo zake kukamata chati kadhaa
Asante kwa Mondray aliyetoa darasa la kulink sasa nina link hii clip ya YouTube umuone mwanadada Samantha Fish akitumbuiza
SN: Nyie ni watu bora kabisa kutumia muda pamoja. LLL
ZKwani anandevu yule mzee[emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duuhZ![]()
[emoji102] [emoji102] [emoji102]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
........
[emoji1] [emoji1] [emoji1] haya shemAisee nna lima mbona maisha ni mswano tu shimba kanipa mashamba shem
Huoni hata akinitania sichukii sababu nikichukia sina kazi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa bei sasaVyA wote tyu
[emoji39] [emoji39] [emoji39] nyweleSawa nyweli natoa of a kwa dada zangu wote ila masaji nakuja mwenyewe na viatu ni vya kike au vyote
Nataka ataje bei ila niangailie niwaongezee na nini kingine[emoji39] [emoji39] [emoji39] nywele