Makapuku Forum

"...shedede alikua na gundu kila akitongozwa anaangukia pua..."

Shedede duh! Anatongozwa halafu tena anapigwa chini?
 
Asante mkuu
 
Muziki Bila Sababu

Habari Makapuku!

Kutokana na sababu zilizo ndani ya uwezo wangu, sitaweza kuongelea utamu wa gitaa kwa leo. Tupo na profesa Muongoo tunaandaa kushawishi iletwe ripoti ya ununuzi wa meli MV daslam.

hata hivyo kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu siwezi kuwaaga bila kuwaachia ka-gitaa na kisauti cha mwanamama mtamjua mwenyewe.

Nyie ni watu bora kabisa kutumia wakati wenu nami jioni na usiku huu. LLL

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…