ahhhha shemela wangu nasikia limoyo lake limedondokea kwako hali halali kwa ajili yako toka ile siku tuliyokutana nae cuzooSijasahau cuzooo lakini hili hujaniambia kabisaaa[emoji23] [emoji23] mpaka napata wasiwasi
[emoji3] [emoji3] [emoji3]ahaha inataka moyo sana ukipenda boga upende na ua lake ajue tu lugha ya mama mchuchu hakuna namna la sivyo binamu obe atajifunza
Hujaachagaa?cuzoo shemela wangu nyagei nasikia anakupenda eti [emoji85] ebu mfikilie kwa niaba ya cuzoo wako
[emoji15] [emoji15] hebu akuje kwanza huyo Nyagei. ...sitaki kudondokewa bhana cuzoo wewe si unajua[emoji23]cuzoo ujue mie sijui kitu ndio leo nimekutana nayo unakumbuka nyagei tulipokutana nae labda limoyo lake limekudondokea cuzoo
ninavyoogopa kitimoto [emoji134]Sikutengi ila nitakuweka kitimotoo[emoji3]
Kumbe Unakumbuka eeh?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shunie asante sana ndugu yangu kwa kunipa shedede
Jamaa anajua kupendaa sana yaani
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Duh huu si uungwana atiiii[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Niitie huyo Nyagei kwanzaaninavyoogopa kitimoto [emoji134]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] khaaa basi tena nimekoma mimi kila mtu ahangaike mwenyeweTumaso na shululu umehusika
Shedede na Husna umehusika
Nyagei na Cuzoo wako unang'ata huku unapuliza
kwanini usiwe mratibu eti??
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha.... Hii kaliAmesahau kuna maboga ya kichinaa hayana maua
kumbe hata hapo alikuwa daraja??? yereeuwiiiiNamjuaaa tuu hashindwiii akiamuaa ..
Umesahau Blessed na liimukongoo
Looooooh
Aiseee safi sana pendaneni tu hakuna namna ingine muwowane basi msiishie hivyohivyo [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shunie asante sana ndugu yangu kwa kunipa shedede
Jamaa anajua kupendaa sana yaani
Kumbe ndo ulichofanya kwa shedede siku zileee[emoji23] [emoji23] [emoji23]ahhhha shemela wangu nasikia limoyo lake limedondokea kwako hali halali kwa ajili yako toka ile siku tuliyokutana nae cuzoo
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]loves u too mum [emoji8] [emoji253] [emoji253]
[emoji23] [emoji23] unajistukia etvijino pembe sijui ndio sie tena [emoji2] [emoji2] uwiiii acha kutuharibia mama yetu