Aziz Ki Mayele
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 899
- 1,955
Nitajaribu, ila ile lugha yao tu ndiyo inaniacha hoi.Under the dome niliipakua had s02e03 ila nimeangalia season 1 had e04 tu.
Za kikorea tamu sana... Tafuta Gu family book au Faith ya Lee min Ho... Ziko poa sana
yee ChonaaaaaNitajaribu, ila ile lugha yao tu ndiyo inaniacha hoi.

Niliufanya ukawa ugonjwa ulopitiza kwangu,, ukaingilia sana maisha yangu na schedules zangu za kawaida, nna experiences za ajabu sana na addiction hiiKwakwel series zina raha yake kama hapa naangalia power huku natupia macho jamii forum....
Maisha muruaaaaa![]()
![]()
HahaaaaaNitajaribu, ila ile lugha yao tu ndiyo inaniacha hoi.
Napenda sana series Lakin schedules zangu nazingatia...Niliufanya ukawa ugonjwa ulopitiza kwangu,, ukaingilia sana maisha yangu na schedules zangu za kawaida, nna experiences za ajabu sana na addiction hii
Pehaa, Puyeyee Chonaaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
tewang peya baseeeeeeHahaaaaa
"konsomida" kumooro" "opaa"
Ndio unajifunza kikorea Kaka...

Sio kwa kupotea hukoAsanteni kwa mwaliko.![]()
Missed u dear, kwema?Sio kwa kupotea huko
Hivi unaondokaje siku zote hizo bila kuaga???Kwema?![]()
![]()
Hahahaa... Ilikuwa ni balaa.Enzi za mwalimu
Miss you too, naona uliamua kutupa jongoo na mti wakeMissed u dear, kwema?
Kwema?Hahahaa... Ilikuwa ni balaa.
Majukumu ndugu yangu ndio yanayotufanya tuasi mjiMiss you too, naona uliamua kutupa jongoo na mti wake
Wifi katika ubora wako! Salamu zimwendee kakaNapenda sana series Lakin schedules zangu nazingatia...
Ni kweli kabisaMajukumu ndugu yangu ndio yanayotufanya tuasi mji