sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Okey. Mkuu mishe huko ngurudoto vepeeeNipo nimepoz hapa![]()
![]()
Okey. Mkuu mishe huko ngurudoto vepeeeNipo nimepoz hapa![]()
![]()
Poa asee mambo namna ganiHabari ya wewe mkuu.......
Pumzika mjiandae na kesho, kazi tu.Hivi usiku umwshafika?????
Niajerr.....punjePoa asee mambo namna gani
Tunatafuta 20kPumzika mjiandae na kesho, kazi tu.
Sasa unamwambiaje damtanzania kuwa ulimkosa hadi kupata wasiwasi kumbe hata PM hujazama kumtafuta???Haata sijapita mkuu. Labda unipe in brief....
Assante wifi angu.. Kaka ako keshalalaWifi katika ubora wako! Salamu zimwendee kaka
Ulale salamAWakuu nawatakia usiku nwema.
Heheh mkuu na mi Jimena kaniPM kazi kwakoHaya atakaye timiza post ya 20k kuna zawadi yake kwa jimena leo
Mi Niko poa kabisa,Assante wifi angu.. Kaka ako keshalala
Uko poa Lakin???
Usiku mwema wifiMuwe na usiku mwema wapendwa
Msisahau kusali![]()
Mmmh zawadi sio PM ni hapa hapa ili wote waoneHeheh mkuu na mi Jimena kaniPM kazi kwako
TAARIFA KWA MAKAPUKU WOTE
Dakika tano zijazo kamanda kikosi MAKAPUKU forum atapita katika jukwaa hili akielekea rest house kwa ajili ya kulalaa
haya makapukuu woteee mguuu upandeee..
mmguuuu sawaaaa
Mwiliiiiiii legezaaaaaa
Tuliaaaaaaaaaa
IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI MAKAPUKU FORUM
ndg DEKITAMBI

NimekuPM