Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Habari ya wewe mkuu.......![]()
![]()
cha kukuhamakisha nini mkuu..
Habari ya wewe mkuu.......![]()
![]()
cha kukuhamakisha nini mkuu..
Naona jumapili yako inakwisha vizuri kabisaaaNitajaribu, ila ile lugha yao tu ndiyo inaniacha hoi.
We jamaaa ulikuwa wapMissed u dear, kwema?
Safi kabisa, nilitaka kushangaa mtu kama wewe unakosaje namna ya kumkarimu mgeniHapana, ila alipata kinywaji bila shaka. Maisha yameenda vema

wadau hizo lugha ni shida.tewang peya baseeeeee![]()
![]()
![]()
Sikukuangusha kabisaa mkuu.Safi kabisa, nilitaka kushangaa mtu kama wewe unakosaje namna ya kumkarimu mgeni![]()
![]()
![]()
Nilikuwa namalizia kutumbua hela za urithi, ila nimesharudi sasaSikukuangusha kabisaa mkuu.
Sema daah ulikuwa wapi??? Nmekutafuta saaana
DaahNgurudoto![]()
![]()
Kwa peter msechu ulizama au ndio juu juu tu?Daah
Usiptee saana mkuu. Paka tuliapata wasiwasi
Ha Haaaa...... Mmeoshaa saana.Nilikuwa namalizia kutumbua hela za urithi, ila nimesharudi sasa
Combination za wapenzi !!!Kwa peter msechu ulizama au ndio juu juu tu?
Haata sijapita mkuu. Labda unipe in brief....Kwa peter msechu ulizama au ndio juu juu tu?
Hivi usiku umwshafika?????Wakuu nawatakia usiku nwema.