Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Huku mvua ni balaa mkuu.mishe fresh...mvua vipi..???
Umeme wenyewe hamna!
Huku mvua ni balaa mkuu.mishe fresh...mvua vipi..???
Safi mkuu,mishe vipi?waungwana mpo gud,!
pouwa asee,.. naona mdogo mdogo mnalisongeshaSafi mkuu,mishe vipi?
Tupo mkuu.pouwa asee,.. naona mdogo mdogo mnalisongesha
Kweli anabebwa ndio maana anamfungafunga KIMBA FCARTIST: YANGA
SONG : NIBEBE
PRODUCER: TFF
Nibebe, nibebe, nibebe,nibebe, nichukue, unibebe.. nishinde mechi ili niwe salamaa...
Yanga wabebwaji
ahahahaKweli anabebwa ndio maana anamfungafunga KIMBA FC![]()
................
TFF chini ya Malinzi tusitegemee kuona soka lenye ushindani..,ARTIST: YANGA
SONG : NIBEBE
PRODUCER: TFF
Nibebe, nibebe, nibebe,nibebe, nichukue, unibebe.. nishinde mechi ili niwe salamaa...
Yanga wabebwaji
TFF chini ya Malinzi tusitegemee kuona soka lenye ushindani..,
kapukuBinafsi siingii kwenye thread nyingine yeyote zaidi ya hii. Huku nina uhakika wa likes. Kule nabahatisha, sasa kwanini nisije huku. Mie nataka hao wakongwe wajifunze roho ya kutoa kama sie. Mtu likes hununui, hufungiwi account kwa kutoa likes, kwanini usitoe?

vimeo vya manchester vyafufuka ..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wengine hawa
![]()
![]()
![]()
![]()
................