Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahaha,hongera.
Kuna moja inaitwa *Under the dome* nilikuwa naipenda sijui hata imeishia wapi.!!!!

Nimeishiwa sana series nowadays halafu za kikorea sizipendi![emoji35] [emoji35]
Under the dome niliipakua had s02e03 ila nimeangalia season 1 had e04 tu.

Za kikorea tamu sana... Tafuta Gu family book au Faith ya Lee min Ho... Ziko poa sana
 
Back
Top Bottom