Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Mkuu naombea taifa na watu wenye shida na sio post kakaKazana na maombi
Mkuu naombea taifa na watu wenye shida na sio post kakaKazana na maombi
Hahhahahhahaha mimi kitumbua sheee!!!Asante bro!
Karibungoja nianzie humu
Th Name akisikia hii mtagombanaUkiwa mwanaume wa Dar na unaona wingu kwenye maisha dawa ni kutafuta mwanamke mwenye reception nzuri kisha wewe kuwa mtiifu kwa bosi wake ili ampe mkeo safari nyingi za 'kikazi' kumwongezea kipato cha kujiunga vikundi vingi vya vikoba!
Duh! poa poa mrembo, basi naomba unielekeze njia humuHahhahahhahaha mimi kitumbua sheee!!!
Ki mungu. Mambo ya mashetani mwachie jambilo![]()
![]()
kiMunguu au kimashetaniii????????
Nimesoma kitambo sana yaani, nilikuwa sina pa kupost tu ndo nimeanzia hapa!Karibu
Kasome post # 3 au page 1 nzima ili update mwanga
One love
.............
Naona dogo umeanza kuokota wake za watu.Duh! poa poa mrembo, basi naomba unielekeze njia humu
Msalimiepo mama watoto. Ukikaribia kuvuna unialikeee mkuuLeo ni siku ya kupeana mrejesho wa tulichoingiza ama kupoteza kwa week inayomalizika ya kazi...marehemu bibi wa mjomba wa rafiki yangu aliwahi niusia kwamba "ili ujue unapoelekea ni lazima uwe na dira ya kukuongoza". Ndiyo maana mimi na mama yenu ikifika siku hii ya leo kwanza tunaenda kumshukuru aliye juu kisha tunarudi nyumbani ku review ni wapi tulipo na ni kwanini hatukufikia malengo ya week! Kwa hiyo mkuu leo nipo tu Ipuli kijijini huku!
Ipuli Tabora?Leo ni siku ya kupeana mrejesho wa tulichoingiza ama kupoteza kwa week inayomalizika ya kazi...marehemu bibi wa mjomba wa rafiki yangu aliwahi niusia kwamba "ili ujue unapoelekea ni lazima uwe na dira ya kukuongoza". Ndiyo maana mimi na mama yenu ikifika siku hii ya leo kwanza tunaenda kumshukuru aliye juu kisha tunarudi nyumbani ku review ni wapi tulipo na ni kwanini hatukufikia malengo ya week! Kwa hiyo mkuu leo nipo tu Ipuli kijijini huku!
Th Name akisikia hii mtagombana
Mungu ni mwema ibada imekuwa nzuri, vip imeabudu mkuu![]()
![]()
![]()
![]()
Mambo vipi Paroko
................
Mkuu uko kisheria vile!Karibu
Kasome post # 3 au page 1 nzima ili update mwanga
One love
.............
NdioMungu ni mwema ibada imekuwa nzuri, vip imeabudu mkuu
Tumesha liweka kombe hili kabatiniHahahahahah nipo my shem darling what a weekend acha kabisa!!!!
Msalimiepo mama watoto. Ukikaribia kuvuna unialikeee mkuu
Napenda saana kazi kuvuna.
Magimbi, na maharagwe.
I miss kujjin....daaah