WAFILIPI 4
4.Furahini katika Bwana siku zote tena nasema furahini,
5.Upole wenu na ujulikane kwa watu wote.Bwana yu karibu.
6.Msijisumbue kwa neono lolote ;Bali katika kila neno kwa kusali na kuomba,pamoja na kushukuru,haja zenu na zijukikane na Mungu.
7.Na amani ya Mungu ,ipitayo akili zote,itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Yesu Kristo.
Amen