1966-- Eric Cantina anazaliwa
Ni nahodha Wa zamani wa Man Utd pia aliichezea timu ya Taifa ya Ufaransa
Ni mwanasoka aliyekuwa na kipaji kikubwa lakini mbabe na mkorofi kama Roy Keane
Anakumbukwa kwa tukio lake la kumrukia shabiki wa timu ponzani teke la kung fu kutokana na kukerwa namna alivyokuwa akimzomea
Aliiamua kuachana na soka mapema na kujikita kwenye soka la ufukweni na uchezaji filamu
.
.
.
Ahsanteni kwa kufuatilia mada
Mwisho
.............