Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
GudMafans wake waliotukuka hawachelewi kusema umekopi
Hivyo nomejihami mapema
![]()
![]()
![]()
........

Cheater-CheetahJE WAJUA?
Ukipaka Perfume ya Calvin Klein Obsession usiende porini maana harufu yake inavutia Jaguars, Tigers na Cheater
Asante my wifeHyo ni lugha ya kikinga hny
Muziki Hutukutanisha Karibu
Habari za usiku huu makapuku wenzangu, saa yangu inaniambia ni saa tau dakika mbili. Napokea asante kwa wote niliowakumbusha muda.
Imani yangu wengi wetu tumekuwa na siku njema kabisa na yote tuliyofanya yameenda kama ilivyokuwa. Kwa wote yaliyoenda kombo, kesho ni siku nyingine na jua litawaka tena.
Unajisikia vipi pale unapokuwa unatembea njiani na unakutana mtu msiyefahamiana na pale mnapokaribiana kila mmoja anatabasamu, hivyo ndivyo siku yangu ilivyokuwa na nilipoenda kwa mangi kupoza koo nikakutana na mnywaji mwingine na tukajikuta tunaongea mengi sana, ya kufurahisha na sasa nimerudi 'nyumbani' kitambo, anawasalimia.
Nisikuchoshe kwa porojo, nakurudisha katika ka-kipengele ketu ka muziki tukiangalia utamu wa gitaa katika muziki.
Nina hakika kabisa umeshahisi 'taste' zangu katika muziki, yeah, napenda country music na kila aina ya muziki wenye gitaa. na leo tumwangalie mkali wa muziki wa country wa zama hizi za miaka ya 2000, acha wale 'mafaza'. namwongelea Billy Currington. Huyu ni mkali wa country na zaidi anajua kulipiga gitaa kisawasawa na hutochoka kusikiza gitaa lake likirandana na mashairi yake mazuri yenye ladha ya tufaa.
Ana tuzo kadhaa za muziki wa country na keshakuwa 'nominated ' kwa tuzo za grammy na academy.
Hapa tumwangalie katika wimbo wake 'People are Crazy'
Asante kwa kumi kubwa bitoz1/Albert Spaggiari![]()
![]()
Huyu kibaka ndo baba lao yaani kibaka kiwango cha SGR
Yeye yupo tofauti na wenzake maana pia ni tapeli aliyekubuhu
Alikuwa ni mpiga picha supastaa hivyo hakuna aliyemtilia mashtaka kana jamaa ni kibaka
Tukio linalokumbukwa ni lile ambao 'alichora ramani' na kuwatafuta watu wa kushirikiana nao na kufanikusha wizi uliotikisa Ufaransa na dunia kwa ujumla
Alifanikisha tukio la kuiba katika Vault ya kuhifadhia Vito huko Ufaransa na kisha kuacha maneno ukutani "Bila silaha,bila vurugu' hii ni sababu walichimba sjimo/handaki chini na kufanikiwa kuingia ndani na kisha kwenye vault na kufungua viboksi takribani 400 vyenye thamani ya pesa ya Ufaransa Milioni 60
Siku aliyokamatwa wananchi wa Ufaransa walipigwa butwaa yaani ni km Ifrisa Sultan au Kifesi ashikwe kwenye tukio kubwa la ujambazi
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
.......
Karibu sanaAsante my wife
Haaaaahaaaa, wanakushindaje kwa mfano
mnajua wenyewe mnataka kunizidishia dhambiAsante sanaKaribu sana
Asante Bitoz1/Albert Spaggiari![]()
![]()
Huyu kibaka ndo baba lao yaani kibaka kiwango cha SGR
Yeye yupo tofauti na wenzake maana pia ni tapeli aliyekubuhu
Alikuwa ni mpiga picha supastaa hivyo hakuna aliyemtilia mashtaka kana jamaa ni kibaka
Tukio linalokumbukwa ni lile ambao 'alichora ramani' na kuwatafuta watu wa kushirikiana nao na kufanikusha wizi uliotikisa Ufaransa na dunia kwa ujumla
Alifanikisha tukio la kuiba katika Vault ya kuhifadhia Vito huko Ufaransa na kisha kuacha maneno ukutani "Bila silaha,bila vurugu' hii ni sababu walichimba sjimo/handaki chini na kufanikiwa kuingia ndani na kisha kwenye vault na kufungua viboksi takribani 400 vyenye thamani ya pesa ya Ufaransa Milioni 60
Siku aliyokamatwa wananchi wa Ufaransa walipigwa butwaa yaani ni km Ifrisa Sultan au Kifesi ashikwe kwenye tukio kubwa la ujambazi![]()
![]()
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
.......
Ndio vizuri ukiwa na mashemela ambao wako vizuri, kwa nini usifurahi![]()
mnajua wenyewe mnataka kunizidishia dhambi
Muziki Hutukutanisha Karibu
Habari za usiku huu makapuku wenzangu, saa yangu inaniambia ni saa tau dakika mbili. Napokea asante kwa wote niliowakumbusha muda.
Imani yangu wengi wetu tumekuwa na siku njema kabisa na yote tuliyofanya yameenda kama ilivyokuwa. Kwa wote yaliyoenda kombo, kesho ni siku nyingine na jua litawaka tena.
Unajisikia vipi pale unapokuwa unatembea njiani na unakutana mtu msiyefahamiana na pale mnapokaribiana kila mmoja anatabasamu, hivyo ndivyo siku yangu ilivyokuwa na nilipoenda kwa mangi kupoza koo nikakutana na mnywaji mwingine na tukajikuta tunaongea mengi sana, ya kufurahisha na sasa nimerudi 'nyumbani' kitambo, anawasalimia.
Nisikuchoshe kwa porojo, nakurudisha katika ka-kipengele ketu ka muziki tukiangalia utamu wa gitaa katika muziki.
Nina hakika kabisa umeshahisi 'taste' zangu katika muziki, yeah, napenda country music na kila aina ya muziki wenye gitaa. na leo tumwangalie mkali wa muziki wa country wa zama hizi za miaka ya 2000, acha wale 'mafaza'. namwongelea Billy Currington. Huyu ni mkali wa country na zaidi anajua kulipiga gitaa kisawasawa na hutochoka kusikiza gitaa lake likirandana na mashairi yake mazuri yenye ladha ya tufaa.
Ana tuzo kadhaa za muziki wa country na keshakuwa 'nominated ' kwa tuzo za grammy na academy.
Hapa tumwangalie katika wimbo wake 'People are Crazy'
hhaahahh na kweli shemela mnanifurahisha sana nawapenda sanaNdio vizuri ukiwa na mashemela ambao wako vizuri, kwa nini usifurahi
Asante Blessed Hope kwa kusoma magazeti.Asante kwa Udhamini mkuu Archiduke na mkuu Ipogolo Mungu awabariki sana![]()
Mkuu kabla ofisi haijafungwa kiongozi wa genge aliingia kupitia dirishani akabana humo halafu walivyofunga tu anaingiza wenzakeHuu wizi ulitumia nafikiri dk26 kabla ofisi haijafunguliwa
Kama ni wakati wa kuzaliwa huwa hatuihesabuSina hakika ila nina imani walishalia walau Mara moja na baada ikabaki historia
InterestingTOP TEN
Leo tuangalie wezi/vibaka au matukio 10 ya wizi maarufu yaliyowahi kutokea tena kwa mafanikio
Najua humu kuna mashabiki wa 'bwana yule' hivyo mimi naelezea kwa ufupi tu na ilitokea kuna tukio au mwizi aliyewahi kuelezewa na 'bwana yule' muelrwe tu ni kwa bahari mbaya na msianze kuleta maneno maneno
Hii ya leo ni ngumu kidogo
Karibuni
......
Hao ni Highest level CriminalSio kama huku bongo, mwizi akiwa anaiba polishi wanajua na mkwanja wanakula