Makapuku Forum

Makapuku Forum

FB_IMG_1493057357060.jpg

Mwisho wa kunukuu
 
1/Albert Spaggiari
64a1803c3dc9ca96ff6005fcff9d65c3.jpg
8436557198f93b688badf2bff4e3cd3a.jpg

Huyu kibaka ndo baba lao yaani kibaka kiwango cha SGR
Yeye yupo tofauti na wenzake maana pia ni tapeli aliyekubuhu
Alikuwa ni mpiga picha supastaa hivyo hakuna aliyemtilia mashtaka kana jamaa ni kibaka
Tukio linalokumbukwa ni lile ambao 'alichora ramani' na kuwatafuta watu wa kushirikiana nao na kufanikusha wizi uliotikisa Ufaransa na dunia kwa ujumla
Alifanikisha tukio la kuiba katika Vault ya kuhifadhia Vito huko Ufaransa na kisha kuacha maneno ukutani "Bila silaha,bila vurugu' hii ni sababu walichimba sjimo/handaki chini na kufanikiwa kuingia ndani na kisha kutoboa ukani kwenye vault na kufungua viboksi takribani 400 vyenye thamani ya pesa ya Ufaransa Milioni 60
Siku aliyokamatwa wananchi wa Ufaransa walipigwa butwaa yaani ni km Ifrisa Sultan au Kifesi ashikwe kwenye tukio kubwa la ujambazi
13fc793b649cc17c228c24da390d6d61.jpg
4abc0dcdabb22383abedd17c39e5f38a.jpg
]
f1ac81aab6d9472a58b5c341ace4e558.jpg

.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
.......


Shukrani mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom