Makapuku Forum

Makapuku Forum

TOP TEN
Leo tuangalie wezi/vibaka au matukio 10 ya wizi maarufu yaliyowahi kutokea tena kwa mafanikio
Najua humu kuna mashabiki wa 'bwana yule' hivyo mimi naelezea kwa ufupi tu na ilitokea kuna tukio au mwizi aliyewahi kuelezewa na 'bwana yule' muelrwe tu ni kwa bahari mbaya na msianze kuleta maneno maneno
Hii ya leo ni ngumu kidogo
Karibuni
......
" Bwana yule "
 
2/The Pink Panthers
6cecf55c7532ebeec2fab025979af0d9.jpg
50ecfb0c3c7f76bf0de171df5d447910.jpg
Hili ni genge la kihalifu huko Serbia ambao Polisi Wa mKimataifa(interpol) wanaamini linahusika na wizi wa Vito vya madini vya thamani kubwa sehemu mbalimbali duniani kwenye matukio yaliyoweka historia
Kwa mfano mwaka 1993 waliiba dhahabu huko London yenye thamani ya Pauni 500,000
Ila eamefanya matukio mengi tu babu kubwa
6dbd213a1e8da0dd5d1e7575d0c2bb49.jpg
Hii ni muvi inayowaelezea japo inachekesha
.......
 
9/2010 Credit Lyonnais Paris Burglars
2ad96df78d7d6a229ef3426c3dffffba.jpg
f1780720a6b8cff459ee7e7bb15e30c5.jpg
Mwaka 2010 wezi waliotikuka walifanikiwa kuvunja na kuona kijanja katika Benki ya Mikopo ya Lyon iliyopo katikati ya jiji la Paris na kuiba viboksi vya kutunzia vito na pesa vyenye thamani ya mamilioni ya Euro pamoja na pesa taslimu.
Walifaniliwa kuingia kupitia mbinu za kijanja na kuvuruga mifump yotee ya ulinzi ma hivyo kuiba kiulaini bila kushtukiwa
Pia mwaka 2011 genge hilo lilifanya kufuru nyingine
Hadi sasa umekosekana ushahidi wa kiwezesha kuwashtaki
........
Si mchezo
 
8/Carl Gugasian
1ef6751b2d9bc2341ac303265b7c6825.jpg
74698721dc8a134e5a67bdda5d8baf59.jpg

Huyu ni kibaka maoni mwenye Shahada ya Uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Pennsylvania huko nchini Marekani ambaye akiamua kutumia usomi wake kufanikishia matukio ya kijambazi
Alipohitimu tu akaanza kuiba magari katika casino 8 tofauti na kuyatumia kwenye matukio yake ya kihalifu
Aliprmdelra zaidi kuiba kwenye mabemki na slifika dakika 5 kabla ya benki kufungwa na kutumia dk 3 tu kubeba mpunga na kusepa zake bila kukamatwa
.....
Aje bongo nishilikiane naye aisee
 
7/Paris Modern Art Museum Burglary
6f3657c3a0b9b6d05cbefe04e06fc137.jpg
026f11498a1fe6033668d6ebf47c42dc.jpg
Mwezi May 2010 mwezi alivunja Makumbusho ya Sana'a ya Paris na kuiba kazi za kisanii kama vile za Picasso and Matisse ambazo zilikuwa na thamani ya Euro milioni 100
Wizi huo ukaja kugundulika keshowe asubuhi muda wa saa 1 na kuaminika kwamba vitu vilivyoibiwa vinaerza kufika thamani ya Euro Milioni 430
Hadi kufikia mwaka 2012 hakukuwa na mtu yoyote aliyekamatwa kuhusiana na tukio hilo
.....
Kuna watu wanajua kuiba aisee
 
6/Derek 'Bertie' Smalls
be3748283b19b2989f2e9296750694e1.jpg
543d6148f2b27daba545675b7c018fda.jpg

Huyu alikuwa ni mwizi aliyebobea huko Uingereza katika miaka ya 1960
Kabla ya miaka ya 1970 alikuwa ni mwizi mwenye jina kubwa kwenye mitaa ya jiji la London
Mwezi Februari 1970 aliongoza genge liitwalo Wembley Mob kuvamia na kuiba pesa kiasi cha Pauni 240,000 katika benki ya Barclays kiasi ambacho ni rekodi kwa kipindi hicho
Kisha akapanda treni na kutimkia jijini Paris kusikilizia upepo
Baada ya juahidiwa kupewa kings na mwendesha mashtaka iwapo atakubali kuelezea wizi ulivyofanyika kwaajili ya faida ya Polisi siku zijazo alikubali kurudi na kutoboa siri ambapo genge zims lolipigwa mvua ya miaka 100 jela ila yeue akasamehewa
.......
Aisee
 
5/Isabella Stewart Gardner Museum Robbers
54eb63626410cbdc2be2d449ff407722.jpg
939681d7ea80ae88781e364fbfb94aec.jpg

Mwezi March 1990 wezi wawili walijifanya ni maofisa Polisi wa Boston na hivyo kuingia kiulaini katika makumbusho ya Isabella Stewart Gardner na kukomba vitu vya sanaa vyenye thamani ya USD Milioni 500 wakatoka nje na kutokomea kusikojulikana
Baadaye ikatangazwa bingo ya USD 5 Milioni kwa atakayefanikishwa kukamatwa kwao lakini hadi leo kimyaaaa
.......
Sio kama huku bongo, mwizi akiwa anaiba polishi wanajua na mkwanja wanakula
 
4/The School Of Turin
db35f25c7eb65b845632f5bcdd654093.jpg
3f8ae1aafda1070218ad340962299aac.jpg

Mwezi Februari huko School of Turin Leonardo Nortobatolo aliongoza genge lake la kihalifu kufanya tukio la kihistoria
Walifanikiwa kuingia kupitia dirishsni kisha kuwafubgulia na wenzske watatu na kuingia kwenye sehemu ya kutunzia vito na fedha Vault baada ya kufanikiwa kuvuka viunzi kibao na hivyo kufungu vibox 123 kati ya 150 na kutokomeazao
........
Huu wizi ulitumia nafikiri dk26 kabla ofisi haijafunguliwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom