Makapuku Forum

acha nikushangaze tu ila asante
Ha ha ha ha ha ha ha.... Nimekwambia Lee ni rafiki yangu..... Sasa ngoja nikwambie bila wewe kuuliza.... Hii Anqasus ni aina ya kahawa....ambayo imechanganywa na spice formula ambayo ukiinywa saa zote utataka Lee awe pembeni yako. Ha ha ha ha ha ha



CC:Lee empire
 
Ahsante sana mkuu Bitoz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…