Leo Katika Historia:
1927 - Karibu na eneo la Xining huko China kunatokea tetemeko na kuua takribani watu 200,000 katika moja kati ya matetemeko makubwa kuwahi kutokea Duniani.
Njema mkuu changamoto za hapa na pale lakini Mungu hajatuacha tunamshukuruZa uzima nzuri mama mchungaji, za familia
Hongera zao1990 - Yemen ya Kusini na Yemen ya kaskazini zaungana na kuwa Yemen.
Happy Birthday George Best1946 - George Best anazaliwa.
Mchezaji mashuhuri wa zamani wa Man Utd.
Happy Birthday Naomi Campbell1970 - Naomi Campbell anazaliwa.
Mwanamitindo wa kiingereza.
Aliwahi kuingia katika skendo ya kuhongwa Almasi za Damu za Sierra Leone na Rais wa wakati huo Charles Taylor.
Aisee pole sana Mungu azidi kukuponyaWadau leo nimeamka nafuu kidogo
Hivyo nimeona nijumuike nanyi
Siku zote nakuwepo hapa ila naumwa takribani mwezi mmoja sasa
In short nilipataga ajali
........
Happy Birthday Novak Djokovic1987 - Novak Djokovic anazaliwa.
Mcheza Tennis mashuhuri kutoka Serbia
Goodmorning sir have a Blessed and wonderful week and monday
Happy Birthday Arturo Vidal1987 - Arturo Vidal anazaliwa.
Kiungo wa kati wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Chile.
wacha weeeeh
Ubarikiwe Mussolin5,asante kwa historia kazi yako ni njemaLeo katika Historia:
Sina la ziada niwatakie siku njema.
1957 - Serikali ya makaburu huko South Africa yatangaza kuwatenga wanafunzi wa chuo vyuo vikuu kutokana na rangi zao.
Ni kasi ya 5GNaona kama ni ndani ya siku mbili zijazo
Aisee pole sana Mkuu, unaendeleaje?Wadau leo nimeamka nafuu kidogo
Hivyo nimeona nijumuike nanyi
Siku zote nakuwepo hapa ila naumwa takribani mwezi mmoja sasa
In short nilipataga ajali
........
1960 - Tetemeko kubwa la ardhi kuwahi kurekodiwa Duniani lapiga huko Chile na kuua takribani watu 2,000.
Aisee pole sana Mungu azidi kukuponya
Jana hali ilikuwa teteAisee pole sana Mkuu, unaendeleaje?
Pole sana mkuu, Ugua pole.Jana hali ilikuwa tete
Bahati nzuri my braza ni daktari bingwa ndo anayenitibu hivyo jana kanichoma sindano ambayo imesaidia kunituliza
Hivyo leo najisikia OK kama siku zote ninazokuwepo hapa japo naumwa ila ni kawaida tu
Changamoto ya maisha
............
1972 - Nchi ya Ceylon yabadili katiba na baadae kubadili na jina na kuanza kujulikana kama Sri Lanka.
Pole kamanda..Wadau leo nimeamka nafuu kidogo
Hivyo nimeona nijumuike nanyi
Siku zote nakuwepo hapa ila naumwa takribani mwezi mmoja sasa
In short nilipataga ajali
........