Makapuku Forum

Makapuku Forum

c241fc1cb0ab99753179011f2bb1bba5.jpg

Shikamoo Makapuku
Nategemea hapo ulipo haujambo
Huku nyumbani bibi khajambo lakini aliniambia nikujulishe kuhusu ile kitu yake ya siku zote kama imepanda bei

Zamani aliipate kwa anko deby kwa tsh 100 lakini tokea waseme no viroba imepanda kweli

Nimejitahidi kuzunguka mitaa ya kina shemera nako tabu nimekosa
Nimejaribu kumpigia anty Shinune kasema eti nae kaokoka hakika kama jinsi ujuavyo bila kupatikaña hiyo kitu sidhani kama bibi kesho ataamka

Bibi kasema ni kueleze wewe anko Kapuku kwa kuwa anakuaminia hasa zile styre zako zakuchomekea suruali yenye viraka huku ukitembea kwa madaha mfano wa ile band ya Tarumbeta anaamini kama utakasa hakika huwezi kikosa kabisa....

Basi kama utapata usije kuleta hadharani nakuomba ufunge vilivyo ili watoto wasije kungamua kilicho chonde chonde usiache sory....
Wako Akupendae
Anko Zoba...
Sijaelewa
 
ZABURI 3

5.Najilaza nikalala usingizi,nikaamka kwa kuwa BWANA ANANITEGEMEZA

Tukijua MUNGU yu pamoja nasi twaweza pumzika hata wakati wa dhiki

TUOMBE
Asante BABA kwakuwa unaendelea kututetea na kutupa ushindi,tunaomba toba kwa yote tunayokukosea.
Tunajikabidhi Baba usiku waleo utulinde tunafahamu husinzii wala hulali upo macho kutuangalia tusipatwe na mabaya.
Nawakabidhi wagonjwa wafiwa yatima na wenye shida mbalimbali.utulinde malaika walinzi watuzunguke
Asante Baba kwa kuwa utatenda sawasawa na mapenzi yako.
Katika jina la Yesu Kristo Amen

USIKU MWEMA
Amen
 
Asante kwa maombi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom