Poa mkuu nitumieNi ujumbe mfupi wa maneno
Totti pia ni jeuri sanaWachezaji watakaotundika daruga wikiendi hii na ijayo.
Philip Lahm - Bayern Munich
Anacheza mechi yake ya mwisho ya kiushindani leo kabla ya kustaafu soka akiwa ametumikia timu hiyo maisha yake yote ya soka. Hajawahi kuhama klabu.
Xabi Alonso - Bayern Munich.
Kiungo huyu fundi wa kukaba, naye anacheza mechi yake ya mwisho leo kabla ya kutundika daruga. Ameshinda kila kitu katika soka.
Fransisco Totti - As Roma.
Maarufu kama El Capitano de la Roma, amechezea klabu yake ya As Roma na hajawahi kuhama, wakati ni ukuta, ameamua kustaafu soka mara baada ya umri kumtupa mkono.
Anaheshimika sana ndani ya Roma kiasi cha mashabiki wake kudai kuwa baada ya Papa anayefatia kwa umaarufu ni Totti.
Dirk Kuyt - Feyernood.
Anastaafu soka mara baada ya safari ndefu ya mafanikio japo sio makubwa sana. Staa huyu wa zamani wa Liverpool atakumbukwa daima kwa aina yake ya mchezo anaocheza wa kutokata tamaa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] tungekuwa na mpira mbovu sanaSipati picha kama ingeendelea kwa zama hizi za Mourinho
Kidogo maana nilijikuta nimepitwa na mengi sana nikaona Jana niungane na walio chelewa kulalaNi kweli jana nilitoka mapema, ila mliukimbiza uzi usiku ule kama Ferrari
Asante Chaplin kwa UFMpaka kufikia hapo sina la ziada katika UF segment.![]()
Tukutane kwenye ratiba ya mechi za leo
Narudi leo mkuuHaya Shululu kama utakaa huku Hadi Ramadhan iishe halafu sio member wa Jihadi kazi unayo
https://https-www-jamiiforums-com.0..._id_internal=925946837445621;AfoUpZ24B7-Qxjc9
[emoji109] [emoji109]Poa mkuu nitumie
Hahaha haya mkuuKidogo maana nilijikuta nimepitwa na mengi sana nikaona Jana niungane na walio chelewa kulala
Tuko pamoja mkuuAsante Chaplin kwa UF
Salama tu mkuuHabari ya mchana huu waungwana.
Za tangu jana vipi?Salama tu mkuu