Makapuku Forum

1982 - Petr Cech anazaliwa.

Kipa namba 1 wa Arsenal na timu ya taifa ya Czech.

Amewahi pia kudakia Chelsea kwa mafanikio makubwa sana.

Ni mmoja wa magolikipa mahiri kuwahi kucheza EPL.
Tangu agongane uwanjani na kupasuka fuvu na hivyo kuzimia na kunusurika kifo bila helmet hachezi mpira
Courtois ndo aliyemfanya akimbie pale darajani
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…