Makapuku Forum

Pole sana, nafurahi umerudi Jukwaani, kula vizuri, fuata masharti ya daktari utakuwa poa zaidi na zaidi😉.

Mama Mchuchu hata simuelewi, kumbe mkongo ni mswalihina, kamsilimisha sasa hivi wanagonga lakaa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mama mchuchu kasilimishwa kutokuepo nakosa mengi binamu jana nilikuta mjomba ako emenikana anataka kitu kipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…