shemela lee wako leerapaWangejua tuu lee mweusi kama nini.. hahahaaa
Hayo mambo ya kukutana..oohh
Niko hapa London Bridge nimevaa White shirt..
Ooh, niko Golden Stone nimevaa gauni la njano..
After 3minutes.. namba haipatikani tena...
Hahahaaa...
Snipes naziona conversenguvu moja haina kufeli
all the best
Unajua namshimu lee sana manake ni comrade mwenzangu porini..shemela lee wako leerapa
lee wa kwangu mm ni mwarabu sio mweusi kila siku nakwambia lee sio mweusi au unataka kumbadilisha rangi
ukinichokonoa tu nazidiwaUnajua namshimu lee sana manake ni comrade mwenzangu porini..
Sasa usitake kinichokonoa..!
Aaah! Kina kitu haelewi tuu..anajua namba zake nilitoa wapi..ukinichokonoa tu nazidiwahivi mpo wote porini mbona hajawahi niambia
huna no zake ulitaka tu kumpa presha baby wanguAaah! Kina kitu haelewi tuu..anajua namba zake nilitoa wapi..
Tuishie hapo kwa leo...
Shunie huwa unapenda kuleft humu ujue...huna no zake ulitaka tu kumpa presha baby wangu
hahahha eti napenda kuleft naomba unilindie mume wangu nyaku nyaku wamezidi badae narudi tena mida kama ya jana mwambie lee wangu nimemmiss sanaShunie huwa unapenda kuleft humu ujue...
Uguza kwanza basi upone
Namba yake inaishia na 38 ..hahahha eti napenda kuleft naomba unilindie mume wangu nyaku nyaku wamezidi badae narudi tena mida kama ya jana mwambie lee wangu nimemmiss sana
ila ukweli no yake huna wala humjui anafananaje
Kila siku nakuambia tulia...afu unanichonokoa...Kheeewewe
Aisee hii kali nalala shemela nimezidiwa naona ndio ulichokua unakitaka nitarudi usiku mida ya jana nisalimie sana kivuruge wangu jana alijua kunivurugaKila siku nakuambia tulia...afu unanichonokoa...
Hapo uko stressed sasa..!
Kweli avatar zinaongeza mvuto
Kumbe ndo maana demi ananitolea nje kumbe ni kwa sababu ya avatar yangu kuwa mbaya. Ila naamini akikutana na mimi hatojutia uamuzi wa kunipenda mie.
Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
I love black guys!Wangejua tuu lee mweusi kama nini.. hahahaaa
Hayo mambo ya kukutana..oohh
Niko hapa London Bridge nimevaa White shirt..
Ooh, niko Golden Stone nimevaa gauni la njano..
After 3minutes.. namba haipatikani tena...
Hahahaaa...
Nitumie hiyo nambaNamba yake inaishia na 38 ..
Sasa endelea kunichokoza
Snipes naziona converse
sio kutuwekea mapanki huyu ndio Snipes ninayemfahamu aliyekimbiwa na Aisha
hivi Aisha yuko api toka alivyoweka tangazo la kutafuta mume kimya
zipo hapo kwa udhamini wakoSnipes naziona converse
sio kutuwekea mapanki huyu ndio Snipes ninayemfahamu aliyekimbiwa na Aisha
hivi Aisha yuko api toka alivyoweka tangazo la kutafuta mume kimya
HahahaYupo hapa tuuu...anasugua masikio yangu
Nyegezi ni kubwa maana hata mimi nipo Mwanza.Ipo mwanza shemela
Mdogo wangu miemnanitamanisha au sijui ndio mana naumwa umwa hamu zimezidi lee wangu ufanye tu urudi