Makapuku Forum

Nyerere na Karume walikuwa na mapungufu yao
.......
 

Picha zinaonyesha kimada wake(Marilyn Monroe) alihudhuria na hata kuhutubia
.......
Ndio maana mke wa JFK akaona kuliko kwenda kuadhirika na kuumia moyo akawachukua watoto na kwenda kuangalia mbio za farasi.

Jambo pekee la kumtenganisha JFK na Ms Monroe ilikuwa ni kifo tu.
Na hapo ndipo dikteta John Edgar Hoover alipotekeleza majukumu yake.
 

Ni mmoja kati ya wachezaji bora zaidi niliobahatika kuwaona wakicheza soka katikati ya Simba
......
 

Enzi za babu hilo la FBI watu wengi walikuwa wananyamazishwa kimyakimya
.......
Malcom X enzi za uhai wake aliwahi kukanyaga Zanzibar na kufanya mazungumzo na msomi mahiri kuwahi kutokea Zanzibar na mwanamapinduzi Abdulrahman Mohamed Babu kuhusu masuala ya Ujamaa na haki za watu weusi.

Bahati mbaya Babu hakuwahi kupatana na Karume na akahamishiwa Bara kikazi baada ya Muungano. Ni mmoja kati ya waasisi wa Muungano.

Bitoz tunaomba picha za Malcom X na Babu.
 
Ahsante sana boss

Natumai ulifurahia usiku wa jana

Siku njema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…