Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Tunakuona tunakuonanawaona nawaona...!!
Tunakuona tunakuonanawaona nawaona...!!
Kesho atakuwa poa na natumai utamuelewaMwambie atulie
banginyeusiSaa sita hii
SakayoHahahaa..yupi
Ndio..hasa oldies.Unapenda good music?
Mimi nimesoma Gamboshi.mkuu Gamboshi mtu akienda anarudi? au ndo bac tena
Hureeeeewakuu tuwe na siku njema ,,
sina la ziada katika segment mpya "upuuzi wa lee"
shunie ugua pole Mungu yu nasi utapona
Na dk 45Saa sita hii
Haswaaunalinda ukoo mzima
Hata mimi nimeona.hiyo inaitwa tuliza ball
Hata mie naweza mtembeza maana nipo karibu sana na maeneo hayo.
Mimi nimesoma Gamboshi.
Ni kijiji cha kawaida tu na hakuna cha ajabu pale japo kuna vitu ambavyo nadhani vinaweza kuvutia watalii.
Karibu sana kama unataka kutembelea mkuu.
Nitakupeleka mwenyewe....
Michael Bolton - How am I supposed to live without youNdio..hasa oldies.
Atakuwa watchman huyo.Na dk 45

HakikaAtakuwa watchman huyo.
Shedebe kajifungia na baby wake
Michael Bolton - How am I supposed to live without you
Enjoy beautiful demi
Thats nice. thank uuu
