Makapuku Forum

Ndioo

AMEN

 
2012 - Patrick " Petii " Mutesa Mafisango anafariki Dunia.

Kiungo wa zamani wa APR Azam Fc, Simba Sc na timu ya taifa ya Rwanda.

Alifariki kwa ajali ya gari eneo la Chang'ombe jijini Dar Es Salaam.
Alikuwa ni nahodha wa Rwanda"Amavubi"
Kama sijakosea msimu huo kwenye dhidi ya Yanga alifunga magoli mawili
Huo ndo msimu wa mwisho Mezani Fc kuchukua ubingwa VPL
Cha kusikitisha zaidi viongozi wa Simba walikula rambirambi pia Mafisango alizikwa kimaskini huko kwao DRC
Laana ya rambirambi haitawaacha
Mimi Yanga lakini Mafisango nilikuwa namkubali ni mmoja wa kiungo bora kuwahi kucheza VPL
.......
 
Rip Cap Mafisango
 
Hakika mkuu nakuunga mkono kwa 100%.

Mafisango ni mmoja kati ya wachezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza VPL kando ya Emmanuel Arnold Okwi, Kipre Herman Tchetche na Haruna Hakizimana Fadhili Niyonzima.

Kikosi kile cha Simba hakika kilisheheni vipaji murua kama Juma Kaseja, Haruna Moshi Shaaban Mawela Boban, Okwi, Sunzu, Juma Said Nyosso na wengineo.

R.I.P Mutesa Mafisango.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…