Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,415
Nipo wapendwa. Mikutano tu tangu asubuhi mpaka jioni. Tunamaliza kesho na nitakuwa nanyi hapa 24/7. Bila "kugombana" na Shedede na mkewe yaani siku haiendi kabisa!Nafikiri bado yupo safarini
Asante kwa kumi kubwa za leo bitoz1/Gambia
Hii nchi ina idadi ya watu milioni 2
Inakadiriwa 66% hawajui kusoma na kuandika
.
.
.
Kwa ujumla nchi za Afrika Magharibi ndiyo zimetawala ...tena ndo zinazoongoza kwa mapinduzi ya kijeshi pamoja na viongozi kukaa madarakani muda mrefu bila kusahau vita vya wenyewe kwa wenyewe
Shukrani kwa waliofuatilia mada
Tukutane kesho
Mwisho
............
Cc Mama mchungajiMASHIKOLOMAGENI...MASHOKOLOMAGENI ni neno tofauti kabisa. Wabeja mayu!
Kitu kimoja nawapendea hawa watu. Hawapendi na hawataki kutawaliwa kabisa. Wewe njoo na madege yako, Abrams tanks na silaha za kila aina. Wenyewe utawakuta na ngamia zao na AK 47 hawana shida. Mrusi alijaribu kwa miaka 10 mwishowe akasarenda na kukimbia. Mmarekani naye huu sijui mwaka wa ngapi anahangaika. Hawaogopi kufa; na hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kifo!
My swi niajeMuhali gani wapendwa nmewamic vbaya
Kuswali si wanakariri tu na kuimba kaswida ila wape walau gazeti wasome hawaweziAisee, tora bora
Ebolla huko ilitamba sana, na hawa jamaa nchi ambazo hawajaelimika ndio sehemu yao ya kufanya majaribio ya chanjo zao na kutengeneza magonjwa
MMU niHaya ingawa sijaelewa kabisaa
Ahsante mkuuTOP TEN
wakuu leo tuone nchi 10 mbumbumbu zaidi duniani yaani zenye idadi kubwa ya wasionua kusoma na kuandika
Kuna usemi kwamba ukitaka kuwatawala watu kwa urahisi basi wanyime elimu
Waafrika kama kawaida yetu tumetawala 10 bora kwa kuingiza nchi 9
Takwimu ni za mwaka huu
Karibuni
.......
Amen mama Mchungaji ubarikiwe3 Yohana 1
2.Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yako yote na kuwa na afya yako ,kama vile roho yako ifanikiwavyo.
TUOMBE
Asante Baba kutufikisha umbali huu.
Tunaomba toba kwa yote tunayokosea.
Bariki kazi za mikono yetu
Ponya wagonjwa ,watie nguvu wafiwa,wajane na yatima
Ponya familia na uzifanikishe katika afya,mwili na roho.
Tembea nasi siku ya leo
Roho Mtakatifu tuongoze tupe hekima katika kila jambo
Asante Baba kwa kuwa unatupenda na unatufanikisha
Najua utafanya sawasawa na mapenzi yako.
Katika jina la Yesu naomba na kushukuru.
Amen
Siku njema wapendwa Mfanikiwe kama neno lisemavyo,hiyo ni ahadi ya Mungu kwetu.Hivyo ni haki yetu tukiri mafanikio Amen
Mic u hny!
Duh7/Chad
Wachad wengi ni wafuasi wa dini ya Kiislamu ambao ni 55% wakati Wakristo ni % ya wananchi wote
Inakadiriwa ni 39% pekee ndiyo wanaojua kusoma na kuandika
61% hawajui kitu
........
Hapana. Wanaogopa vijana wao kuwa corrupted na western values; na kuachana na dini yao. Media ndiyo njia kuu ya kueneza mawazo na ajenda za Kimagharibi. Ni sawa na sasa ambapo ushoga na usagaji unaenezwa kwa nguvu zote. Sema tu Wataliban wao walikwenda mbali zaidi na mbinu zao wali/nazotumia si za kibinadamu. The little fat boy wa North Korea yeye anatumia mbinu tofauti na anafanikiwa tu...
Ahsante mkuu Bitoz kwa kumi bora1/Gambia
Hii nchi ina idadi ya watu milioni 2
Inakadiriwa 66% hawajui kusoma na kuandika
.
.
.
Kwa ujumla nchi za Afrika Magharibi ndiyo zimetawala ...tena ndo zinazoongoza kwa mapinduzi ya kijeshi pamoja na viongozi kukaa madarakani muda mrefu bila kusahau vita vya wenyewe kwa wenyewe
Shukrani kwa waliofuatilia mada
Tukutane kesho
Mwisho
............
Mvuvi wa kambale bahariniAsante kwa kumi kubwa za leo bitoz
Aka mvuvi wa kambale
Poa mekumic pia,kutingwa kwingi nakosa hata ka muda kuchunguli hku ndan,majukumu vpMy swi niaje
Nimekumiss my lovely Tumosa
Shemela mzimaKaribu sana
All the time God is good