Makapuku Forum

 
Hahaha wakati lonely people hapa kwetu hamna anayewafikiria.

Ila kuna nchi zinajali sana wanyama,na inapendeza,niliwahi pata mgeni,tukawa tunatembea kijijini tukakuta watoto wamebeba kobe wanashangilia,akawauliza wanini?wakasema wanaenda kumfuga,akawaauliza mnaweza kuuza? Wakajibu ndio wakataja bei kubwa,akalipa akamchukua akanambia nimpeleke mbele zaidi ila kuwe salama ,sikujua anakusudia nini,tukaenda huwezi amini alimuachilia na tulikaa saa nzima ahakikishe hakuna mtu ameona alikoenda,alikua binti wa miaka 23 wakati huo,nilibaki nimejifunza kitu.
Hata kuku alikua hali wala nyama yoyote anasema yeye anawaone huruma ,wakati ss tulikua tunaandaa kuku mgen i ale
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…