Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Manyau kuingia TOP 4 labda tumtoe ArsayNOStoke city siku hizi wamekuwa mtori
................
Manyau kuingia TOP 4 labda tumtoe ArsayNOStoke city siku hizi wamekuwa mtori
Kwani Man city na Arsenal washakutana?Manyau kuingia TOP 4 labda tumtoe ArsayNO
![]()
![]()
................
Mi nasubiri mwezi wa 8Leo nimetimiza mwaka mmoja kamili ndani ya JF.
Nilikuwepo, nipo na nitaendelea kuwepo kwa uwezo wa Mola.
Bado ila naona tumtoe ArsayNO ndo itanogaKwani Man city na Arsenal washakutana?
arse8 afungwe gemu mbili tu, afu sie tushinde...tumemtoaBado ila naona tumtoe ArsayNO ndo itanoga
............
Hahahahaha lol weekend hii
Uje tu mkuu maana hakuna namna na hii hela ni lazima iisheNatamani ningelikuwa maeneo ya karibu na utumbuaji wa hela za urithi.
![]()
![]()
le mdogoz
Nilifikiri itaanza na Buguruni.hiyo mahakama ianze na akina Lugumi